Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Algeria 🇩🇿 ilipeleka misaada huko Syria

Uturuki wana misaada ya kutosha sasa tu focus na Syria 🇸🇾 ndugu zangu huko wameonekana Warusi, wairan, wairaq na Algeria tu
 
nchi ya uturuki ni miongoni mwanchi zinazo jiweza zaidi afirika wanata kupewa pole tu kutoka kwetu
Uturuki inajiweza wapi sasa, Turkey imepewa bailouts na IMF, Qatar wamewapa mikopo mpaka walapatiwa currency swaps deni lilipoongezeka ,inflation kwao ilifika 70% plus, wale ni ghost giants, walikuwa juu ila sasa ni ombaomba tu Kama siye
 
Burundi katuwakilisha, ametuma wasaidizi
 
Back
Top Bottom