Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Haya nipitie hapa moroco fasta twenzetu
Kwani unataka twende mda huu dadangu na upo serious🤣🤣🤣??????? Twende kesho asubuhi ndio mida mizuri ya wageni kupokelewa!!!Au nikuelekeze uende mwenyewe mda huu ni hapo oysterbay mtaa wa Sekou Toure nyumba namba 97!!!
 
Twende sasa hivi, haya ni majanga yanahitaji hatua zichukuliwe haraka
 
Watu wanaweza wasirudi huku tena ndo tatizo. Labda chakula, mchele
 
Back
Top Bottom