Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Kwa Tz labda kuandaa na kusimamia mazishi, maana serikali yetu hata kwa raia wake, haiwalindi ila inahakikisha msiba na mazishi ndio inashiriki.
 
Sisi ni bara la kusaidiwa tu

Hilo mbona linajulikana

Ova
 
Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Hamu yako uende kuzamia Uturuki tu huna lingine.
 
Hivi majaliwa hajamaliza mafunzo aende atuwakilishe huko kuokoa watu?
 
Kuna kidada kimoja kinatembea na hao waturuki wanaojenga reli ya sgr
eti leo nmeona kimeweka hii status kwenye whatsaap yake
Screenshot_20230207-124944_WhatsApp.jpg
 
Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Chanzo kikuu cha umasikini ni UCHOYO na kutokutoq
 
nchi ya uturuki ni miongoni mwanchi zinazo jiweza zaidi afirika wanata kupewa pole tu kutoka kwetu
 
Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Africa imeshindwa kupeleka hata magimbi ?
 
sasa brother unataka dunia nzima iende turkey sababu ya kuanguka nyumba 6000 tu? ambazo hata kwa wilaya moja hazijazi?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?

Mabeberu hayo, hatuwataki
 
Tumepost twitter inatosha
 
Au serikali iwapeleke urusi wakamsaidie PUTi-inn
 
Labda tupeleke pumbu
 
Yatokee huko huko usiombee yatokee huku, nyumba 6000 si mchezo.

Mtu kajenga kasebule na vichumba vhake viwili kwa miaka 7.. Leo kwa sekunde kadhaa kako chini na kila kitu kimefukiwa humo humo..😔😔
Mungu tunusuru sisi.
 
Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu.

~ Ukraine iko vitani ila inapeleka watu

~ Lebanon imepeleka watu

~ India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa

~ China imepeleka watu (waliojitolea)

~ Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa

~ Urusi imepeleka watu na madawa

Afrika tuna tatizo gani?

Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.

JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Umewahi kuwaona watoto wanashughurika kwenye msiba? Wao kwao ni sikukuu kwani hupenda kucheza walipokaa waombolezaji, hao ndiyo sisi waafrika.
 
Back
Top Bottom