GIDEN
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,474
- 704
Tafuta Is20 direct.Huwezi kutumia time yako kunielekeza hapo mkuu,? Nirudi 906 kwa c band yenye biskuti ndani sio?
Rakims
Tafuta Is20 direct.Huwezi kutumia time yako kunielekeza hapo mkuu,? Nirudi 906 kwa c band yenye biskuti ndani sio?
Rakims
Utapata channels kama 250-330 nyingine zimefungwa, nyingine bure.Mkuu sifa zilizopo kwenye Gsky v5 plus ndio hizo hizo iliyonazo Gt media v9 nimekuuliza hapo Is 20 wewe unapata channels ngapi? Maana hata etv ni scrambled lakini ilifungua nilipokua kwenye KU,
Rakims
Mimi nimepata 21 tu halafu hata moja haipo kwenye list za mkuu hapo nadhani nimeenda chakaUtapata channels kama 250-330 nyingine zimefungwa, nyingine bure.
Nimepindisha dish kidogo kwenda chini kama cm 4 nimepata radio 20 sasa nifuate uelekeo up kupinda zaidi maana nikienda chini zaidi ya hapo sipati kitu au juu zaidi ya hapo napo hamnaUtapata channels kama 250-330 nyingine zimefungwa, nyingine bure.
Dish lako ft ngapi, mimi nina ft 6 tu nisije kuwa napandisha maji mlima?
6 feet, upload picha ya channel list ulizopata. Kama kweli upo kwenye IS20 unatakiwa upate around 200-300 tv programs depending on how fine you have tuned your dish.Dish lako ft ngapi, mimi nina ft 6 tu nisije kuwa napandisha maji mlima?
Rakims
Lnb inatakiwa iwe imeangalia upande gani? Maana nimezungusha sana dish bila mafanikio yoyote, nimehamia kwenye Lnb ndio nikaona channels 3 zimeongezeka na zote bado ni scrambled6 feet, upload picha ya channel list ulizopata. Kama kweli upo kwenye IS20 unatakiwa upate around 200-300 tv programs depending on how fine you have tuned your dish.
Kama unapata na DSTV probably bado umeacha LNB ya KU and that would be a great problem with your hunting. Piga picha dish yako pia na picha ya TV yako ikionyesha hizo channel ulizozipataLnb inatakiwa iwe imeangalia upande gani? Maana nimezungusha sana dish bila mafanikio yoyote, nimehamia kwenye Lnb ndio nikaona channels 3 zimeongezeka na zote bado ni scrambled
Kuna channel pia nilipata mbili za satellite 2 tofauti Toonami ya 16A na nyingine ya dstv 36A zingine zote 13 zinadai ni IS 20
Rakims
Hivyo mkuuKama unapata na DSTV probably bado umeacha LNB ya KU and that would be a great problem with your hunting. Piga picha dish yako pia na picha ya TV yako ikionyesha hizo channel ulizozipata
Lnb zangu ni gulf satMe@sat 91.5E the dish is almost standing vertical.
8 foot dish
Supermax VH-555 LNB
3840 in with Signal quality of 69%
View attachment 1121566View attachment 1121569
Naona dish lako lipo chini zaidiMe@sat 91.5E the dish is almost standing vertical.
8 foot dish
Supermax VH-555 LNB
3840 in with Signal quality of 69%View attachment 1121574View attachment 1121575
Hongera ni kweli upo IS20. Jaribu kufanya blind scan au 3900 H 22222 uone kama utapata channel za S0ny kama hazitakuja fanya adjustment taratibu hadi upate signal.Lnb zangu ni gulf sat
...Nimepindisha dish kidogo kwenda chini kama cm 4 nimepata radio 20 sasa nifuate uelekeo up kupinda zaidi maana nikienda chini zaidi ya hapo sipati kitu au juu zaidi ya hapo napo hamna
Nimeiga umbali wa dish lako naona zimekuwa 25Hongera ni kweli upo IS20. Jaribu kufanya blind scan au 3900 H 22222 uone kama utapata channel za S0ny kama hazitakuja fanya adjustment taratibu hadi upate signal.
Hizo Cartoon network haziwezi kufunguka zimefungwa na 1deto.
Heheh hiyo ni 91.5 degree babuNimeiga umbali wa dish lako naona zimekuwa 25View attachment 1121585
Bado sipati zaidi mkuuHeheh hiyo ni 91.5 degree babu
Bennick unachanganya mwenzako. haha....wacha apate iSO20 kwanza .....hizo zingine baadaye akipata 8ftBado sipati zaidi mkuu
Jaribu hiyo transponder kwenye post #30345 utupe mrejesho kama itagomaBado sipati zaidi mkuu