Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,013
- 4,621
Huwezi kutumia time yako kunielekeza hapo mkuu,? Nirudi 906 kwa c band yenye biskuti ndani sio?Kama unahitaji IS20 geuza dish yako iellekee kule tullikokuwa tunapata ITV na track TVM ambayo imebaki kule (lnb yako ikiwa bado ina ile biskuit ya ndani), ukisha ipata 3654 R 5632 ondoa hiyo biskuit ndani ya lnb yako ya c band kisha adjust azimuth na elevation ya dishi lako taratibu ukitumia 3974 H 19500 ili upate channel rahisi kabisa kwenye IS20. Moreover jitahidi kupitia hii thread huko nyuma majibu yapo mengi kuhusiana na kutrack Is20.
Rakims