Yaosen
Senior Member
- Dec 6, 2017
- 167
- 25
Am getting dove, Plus TV on that bird what might be the problemI am getting them.
Am getting dove, Plus TV on that bird what might be the problemI am getting them.
Zote scrambled nimeziona 13 tuFrequency zake ni zipi nahisi kama umepotea huko, na je umegeuza dish likiwa bado lina ku au ulishabadilisha kuweka lnb kubwa ya c band
Meaning of Jesh sir?3800 H 27500
Umepata frequency gani nyingine apart from ile ulio itaja awaliAhsante mkuu nimeanza kuziona 13 baada ya kushusha dish 3cm
Zipo ngapi hapo?
Umepata frequency gani nyingine apart from ile ulio itaja awali cause I googled them and ended up getting thisZote scrambled nimeziona 13 tu


Hapana hapo nimesharudi Is 20 ndio nimepata 13 scrambled mkuuUmepata frequency gani nyingine apart from ile ulio itaja awali
Nipo kwenye Is 20 mkuuUmepata frequency gani nyingine apart from ile ulio itaja awali cause I googled them and ended up getting thisView attachment 1120633
tbc1, 2 na safari bado wapoYap. hiyo ndo step 1 maana ukisha ipata 906 IS20 inakuwa very close,
bahati mbaya tu ni kuwa kwenye 906 imebaki TVM ambayo transponder yake ni weak ukilinganisha na akina ITV ambao walisha hama tangu last week so itabidi upambane
umeweka sabuni .... jeshi lazima sabuniAm getting dove, Plus TV on that bird what might be the problem
Hivi channels hapo zipo ngapi na mbona zote ni scrambled?Nipo kwenye Is 20 mkuu
Utumia dekoda /receiver gani?Hivi channels hapo zipo ngapi na mbona zote ni scrambled?
Gt media v9 superUtumia dekoda /receiver gani?
Then you should be able to get some good stuff, ila zile zenye kufuli la power vu tu kama S0ny NetworksGt media v9 super
Wewe unatumia ipi?Then you should be able to get some good stuff, ila zile zenye kufuli la power vu tu kama S0ny Networks
Zii sikuwa nimeweka, thanks wacha kesho I sort it againumeweka sabuni .... jeshi lazima sabuni
Gsky V5 plusWewe unatumia ipi?
Mkuu sifa zilizopo kwenye Gsky v5 plus ndio hizo hizo iliyonazo Gt media v9 nimekuuliza hapo Is 20 wewe unapata channels ngapi? Maana hata etv ni scrambled lakini ilifungua nilipokua kwenye KU,Gsky V5 plus
Here you go.Mkuu sifa zilizopo kwenye Gsky v5 plus ndio hizo hizo iliyonazo Gt media v9 nimekuuliza hapo Is 20 wewe unapata channels ngapi? Maana hata etv ni scrambled lakini ilifungua nilipokua kwenye KU,
Rakims