Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,013
- 4,621
Kwa hiyo Is20 naipata ndani kukiwa na kile ki biskuti au kukiwa hamna?Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.
Kwa hiyo Is20 naipata ndani kukiwa na kile ki biskuti au kukiwa hamna?Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.
Rakims.Kwa hiyo Is20 naipata ndani kukiwa na kile ki biskuti au kukiwa hamna?
Mm natumia Qsat, vip kinaweza ku unlock hzo?Unaweza kuzipata lakini zingine zipo scrambled kwenye continental sijui wengine hapo kama wanazipata free, ila kwa kisimbusi nilichonacho sasa hivi kina unlock hizo
Rakims
msaaada mwenye frequency mpya za itv
H3671 8571
Kama Nahdy alivosema. Ni hapo hapo ulipo wala usiende mbali, cheza na lnb tu na kufanya small increments. Pale ulipopata HBO 3974 cheza hapo hakikisha quality inafika walau hamsini kwenda juu, desirable ni 60-70.Upande wa zuku,startimes azam si si ndio? Inamaana nigeuze nyuma ya hapa
Nimebadili Lnb na kjfanya ulivyosema mkuu hamna kitu lakini IS20 ndio ipo chini ya Continental? Yaani pale ambapo ukiweka KU unapata local channels kwa upande wa continental? Baadhi unakuta zipo scrambled au maana nikitumia huo mtindo mliosema pale naona kuna light tv na canal de vie nikishuka kidogo inaongezeka channel 10 na TBC 1 sasa hii ambayo nimepata hizo cartoon network india nahisi ni ABS au Thaicom maana kutoka umbali huo wa channel ten na tbc kuja hadi hapo ninapopasema ni kama 30cmRakims.
Is20 ni hapo hapo ulipopata nhkworld. Usiende kwengine adjustment ni 1-2 cm juu chini kulia kushoto usizidishe zaidi ya hapo. CNN/ HBO unaipataa? Jee una LNB nyengine unaeza kujaribu nayo?
Toa biscuit/kibao ndani ya LNB.
Pia ingiza lnb ndani ama itoe nje kidogo LNB.
Kina autoroll ya keys za irdeto,powervu,conax,biss key?Mm natumia Qsat, vip kinaweza ku unlock hzo?
Hapo quality haipandi mwisho inaishia 18% tuKama Nahdy alivosema. Ni hapo hapo ulipo wala usiende mbali, cheza na lnb tu na kufanya small increments. Pale ulipopata HBO 3974 cheza hapo hakikisha quality inafika walau hamsini kwenda juu, desirable ni 60-70.
Usiende kule kwenye zuku ni mbali sana.
Tuanzie hapa.Hapo quality haipandi mwisho inaishia 18% tu
H3671 8571
Jaribu kubadili LNB na hakikisha umetoa kile kisabuni cha ndani,lakini pia niliona hizo fimbo (LNB arms) kama zimepinda yaweza kuwa tatizoHapo quality haipandi mwisho inaishia 18% tu
Tuanzie hapa.
Ulisema uliwahi kupata nhkworld je tp yake imeandikwa ngapi? 3840h29910???
Ndio wamehama satellite kuyoka 64.2E kwenda 72E utatakiwa ufanye mabadiliko kidogo kwenye dish yako.Nmeitaft hii itv nmekosa au kun kubadilisha mwelekeo msaad plz nd nafany sas hv
Tuanzie hapa.
Ulisema uliwahi kupata nhkworld je tp yake imeandikwa ngapi? 3840h29910???
Cartoon india English
Cartoon india telegu
Cartoon india tamil
Cartoon india
Os Download
Zote hizo kuanzia 20 hapo hadi 30 ni 3975 H 19499View attachment 1122518
Quality ni ngapi hapo?Cartoon india English
Cartoon india telegu
Cartoon india tamil
Cartoon india
Os Download
Zote hizo kuanzia 20 hapo hadi 30 ni 3975 H 19499View attachment 1122518
Hapana hamna HBO wala Cnn hapoThis is very gud.
HBO Na CNN zinaonyesha???
Rgds
23% haizidiQuality ni ngapi hapo?
Yangu ipo 57%