BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Sorry buddy.! I didn't catch a pointT. I you. I am notf
Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
Sorry buddy.! I didn't catch a pointT. I you. I am notf
Sorry br.
i watching hornsport 1 now at 57eView attachment 1119292No more sport @ 57
Pamoja boss. PoleSorry br.
Tecno problem
Mkuu nawezaje kupata Intelsat 20 kwa c band? Maana naona channel karibu 90 zote dini tu na 2 ni etv na emovies,Pamoja boss. Pole
90 na zaidi ni kwa KU bandPamoja boss. Pole
All answers are above in the earlier pages. CHANGE THE LNB to CbandMkuu nawezaje kupata Intelsat 20 kwa c band? Maana naona channel karibu 90 zote dini tu na 2 ni etv na emovies,
Nilikuwa nahitaji channels za kihindi
Rakims

Rahisi sana boss ila ni vema uka share setup yako (picha) useme ipi ni primary LNB, na zingine uka zi identify.Mkuu nawezaje kupata Intelsat 20 kwa c band? Maana naona channel karibu 90 zote dini tu na 2 ni etv na emovies,
Nilikuwa nahitaji channels za kihindi
Rakims
Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.Rahisi sana boss ila ni vema uka share setup yako (picha) useme ipi ni primary LNB, na zingine uka zi identify.
But generally Hiyo slot uliyoweka ku ya IS20 weka lnb ya c band, chomoa ile biskuti ya ndani ya lnb tumia 3974 H 19500 u tune quality level ifike walau 70% kisha deal na the rest of the frequencies. unaweza ukatoboa hiyo c band lnb kisha ukabebesha kiyo KU ukapata both c+ku
Hizi C band zinatakiwa zote mbili au moja maana hapa ipo mojaRahisi sana boss ila ni vema uka share setup yako (picha) useme ipi ni primary LNB, na zingine uka zi identify.
But generally Hiyo slot uliyoweka ku ya IS20 weka lnb ya c band, chomoa ile biskuti ya ndani ya lnb tumia 3974 H 19500 u tune quality level ifike walau 70% kisha deal na the rest of the frequencies. unaweza ukatoboa hiyo c band lnb kisha ukabebesha kiyo KU ukapata both c+ku
Nyingine sijafungaHizi C band zinatakiwa zote mbili au moja maana hapa ipo moja
Should i add one more?Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.
Diah lako lina lnb ngapi na unapata satellite ngapi, tuanzia hapo kwanzaNyingine sijafunga
Hizo fimbo za lnb zimepinda, nyosha kwanza kwa matoleo mazuri. hapa kwenye hii picha unapata channel/satellite gani maana naona lnb moja tu ya c band na ulisema unapata za kuShould i add one more?View attachment 1120498
Ku nimeitoa baada ya kuona umepost sehemu kwamba hapa Is20 ukiwa na C-band unapata sony entertainmentHizo fimbo za lnb zimepinda, nyosha kwanza kwa matoleo mazuri. hapa kwenye hii picha unapata channel/satellite gani maana naona lnb moja tu ya c band na ulisema unapata za ku
Hivyo zilivyokaa mkuu nikiweka KU napata eutelsat 7b, eutelsat 36,astra 57° na arab sat5cHizo fimbo za lnb zimepinda, nyosha kwanza kwa matoleo mazuri. hapa kwenye hii picha unapata channel/satellite gani maana naona lnb moja tu ya c band na ulisema unapata za ku
First, I think you got me wrong. I never said the sat needs a teflon. I just told him to remove it kama ulielewa lugha.Wewe wamchanganya, afadhali kama hujui unatulia. Is20 doesn't use teflon, he has no Cband.
First, I think you got me wrong. I never said the sat needs a teflon. I just told him to remove it kama ulielewa lugha.
Second. The guy seems to be a newbie and he was bringing up some contradiction in his explanation, that's why I asked him to post his setup.
Kama unahitaji IS20 geuza dish yako iellekee kule tullikokuwa tunapata ITV na track TVM ambayo imebaki kule (lnb yako ikiwa bado ina ile biskuit ya ndani), ukisha ipata 3654 R 5632 ondoa hiyo biskuit ndani ya lnb yako ya c band kisha adjust azimuth na elevation ya dishi lako taratibu ukitumia 3974 H 19500 ili upate channel rahisi kabisa kwenye IS20. Moreover jitahidi kupitia hii thread huko nyuma majibu yapo mengi kuhusiana na kutrack Is20.Hivyo zilivyokaa mkuu nikiweka KU napata eutelsat 7b, eutelsat 36,astra 57° na arab sat5c
Rakims