I have good very good quality, and strength signals, but never been able to get to it, someone help !!!! Am in Naivasha town, Using a 2.4 prime focus dish and a chaparral co rotor II+ wideband feed. Norsat 5150FI lost Dixc on 68 over the weekend. Are they still on and receivable on 6ft?
same case looking for help, $$$ sucksi have it with $.
same case looking for help, $$$ sucks
Which box are you using and whats your signal quality ?I have good very good quality, and strength signals, but never been able to get to it, someone help !!!! Am in Naivasha town, Using a 2.4 prime focus dish and a chaparral co rotor II+ wideband feed. Norsat 5150F
...Tatizo liko wapi eroo,au hujaelewa nilichouliza...ungenyuti tu kama ujaelewa
Tatizo liko wapi eroo,au hujaelewa nilichouliza...ungenyuti tu kama ujaelewa
Kiswahili pia lakubalika tu....
eroo! aka kaprati fomu ni kakimombo. Tumia jukwaa la ulimwengu_wa_satelite...
Tatizo jingine, hongera dish 18ft na huo mwelekeo !
Jamii forum inatujali, haina mambo ya kunyuti.
...
.... a chaparral co rotor II+ wideband feed. Norsat 5150F
Okey samahani kama nimekukwaza mimi nilijua nipo jukwaa la ufundi ambapo hakuna masharti ya luga(labda jukwaa la international) sasa mimi msukuma najua huku pia kuna waswaili wenzangu wanaweza kunipa msaada wa mawazo lkn hata ivo sikuona mantiki ya wewe kupendekeza mod wanyofoe comment yangu,ungepita kimya ingependeza zaidi mwenye anajua kikwetu angenisaidia btn huwezi enda forum za wenzetu kama wahindi hata kama asilimia kubwa wanatumia kingereza akitokea mmoja wao akauliza kwa luga yao ya kihindi ukute wanambeza..asante...
eroo! aka kaprati fomu ni kakimombo. Tumia jukwaa la ulimwengu_wa_satelite...
Tatizo jingine, hongera dish 18ft na huo mwelekeo !
Jamii forum inatujali, haina mambo ya kunyuti.
...
Kiswahili pia lakubalika tu.
Ila tu hutakuwa na budi ya kutafsiri unachonena kwa kwa kimombo ili ueleweke na wataalamu wanaotoka mataifa mbali mbali wasioelewa kiswahili kama wataka usaidizi wao.
Lakini hio 18 fiti ! Inakaa hekaya. Itabidi umeposti picha ndio tuamini. 😁😂
Unless I see, I shall believe!!Duh, 18 kweli? Hata mimi ningetaka kuona picha yake.
Waungwana msaada natumia Tiger T245+ pro receiver na dish 18ft ila sipati Wasafi tv na pia nimeblind scan @78.5 lakini siipati pamoja na EFM pia nimejaribu kuweka frequency manually bado hazikubali tafadhali mwenye kujua kuingiza hizi chaneli anisaidie maelekezo
NB:sijawahi kupata channel yoyote kwa manually frequency input...Asante
Hapo kwenye upana maesabu yapo kando kidogo ila kwa mita ni 4(la wavu) na channel napata nyingi za india+.BO+S.ny+Ten+colours+nyingi za Bangladesh na Thailand+za ndani itv,tbc,ch10,capital na eatv...kama utakua fundi mzuri na upo dsm pls tuwasiliane pm(fundi wangu alihama mkoa nimechukua mafundi wa3 hakuna alie mtaalam wanapoteza channels zaidi badala ya kuongeza)Dish Yako ina upana gani ?
Wapata channel zipi ?
Pole kakangu .. mimi nipo ndani ya mitandao sipo TZHapo kwenye upana maesabu yapo kando kidogo ila kwa mita ni 4(la wavu) na channel napata nyingi za india+.BO+S.ny+Ten+colours+nyingi za Bangladesh na Thailand+za ndani itv,tbc,ch10,capital na eatv...kama utakua fundi mzuri na upo dsm pls tuwasiliane pm(fundi wangu alihama mkoa nimechukua mafundi wa3 hakuna alie mtaalam wanapoteza channels zaidi badala ya kuongeza)
Wewe sio fundi ? au wa fahamu kufunga madishi ?Hapo kwenye upana maesabu yapo kando kidogo ila kwa mita ni 4(la wavu) na channel napata nyingi za india+.BO+S.ny+Ten+colours+nyingi za Bangladesh na Thailand+za ndani itv,tbc,ch10,capital na eatv...kama utakua fundi mzuri na upo dsm pls tuwasiliane pm(fundi wangu alihama mkoa nimechukua mafundi wa3 hakuna alie mtaalam wanapoteza channels zaidi badala ya kuongeza)
Mita nne doh! Hilo jibakuli jameni!Hapo kwenye upana maesabu yapo kando kidogo ila kwa mita ni 4(la wavu) na channel napata nyingi za india+.BO+S.ny+Ten+colours+nyingi za Bangladesh na Thailand+za ndani itv,tbc,ch10,capital na eatv...kama utakua fundi mzuri na upo dsm pls tuwasiliane pm(fundi wangu alihama mkoa nimechukua mafundi wa3 hakuna alie mtaalam wanapoteza channels zaidi badala ya kuongeza)
Sio fundi ni mtumiaji ila tangu fundi wangu amehama mkoa sijapata fundi professional zaidi wanaokuja wanaharibu zaidi (wanapoteza baadhi ya chnl)Wewe sio fundi ? au wa fahamu kufunga madishi ?
Shida kupata fundi professional wengi mafundi wabahatishajiMita nne doh! Hilo jibakuli jameni!
Yafika futi 13 hivi. Na sio 18
Hivyo vituo ulivyo vitaja waweza pata na kijibakuli cha futi sita tu!
Ubaya ya jibakuli kubwa kama hilo ni ngumu sana kulihudumia kama wewe sii mtaalam kamili. Tena mafundi wengi hawajazoea jibakuli kubwa kama hilo na badala ya kulitengeza wanaliharibu.
Ningekushauri ujipatie kijibakuli cha futi sita au nane. Sio ghali sana na mufundi wengi wanaweza lihudumia hata wewe mwenyewe. Bado kitakupatia vituo hivyo uliivyokua ukivipata katika hilo jibakuli kubwa.
Hadi ile siku utapata mtaalam maalum wa jibakuli kubwa.
Technomate brand i guess have not made it yet to african market, and am having issues getting help with k***ys and aut**ll. hope jamii family will take my issues serious. Am Using TM 6902HD ComboThat corotor feedhorn is serious! Costs over USD 200. Norsat is also a serious lnb. You must be an Expatriate!🤔
Corotor feedhorns & lnbs are very good for motorized setups with servo control.
As for 68.5 Disq. You'll need an autoroll theifer decoder.
TM6902 HD comboWhich box are you using and whats your signal quality ?