Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,270
- 10,262
Mmekutana na Mnijeria mwingine, UCHE IKPEAZU. Mbwa nyie na kipenati chenu cha kupendelewa. š¤£
Funga mbwa wa ccm hao GENTAMYCINETimu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao
View attachment 3521580
HahahahahaaUche IKPEAZU tenaaaa, kubabake kwa hizi kenge za mama. š
Kichwa cha mwendawazimu
Mbuzi wa maskini hazai!
Wangeshinda hawa tusingekunywa maji
Kiko wapiHii game tunashinda
Mnaweza kuua tu, hayo mengine mnasindikiza tutunashinda tatu
Alhamdulilahi tumetoka sare,leo jamaa wangetukana nchi sanaTimu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao
View attachment 3521580
wajinga kama akina funaku ni kuwapuuza tuKiko wapi
Tz labla tukacheze X tuu, mpira sio fani yetu
š hawezi kurudi kawa mdogo kama piriton...wanachojua ni kuiba kura na kupga watu risasi
Sawatunashinda tatu