Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 5,854
- 10,312
Mechi ijayo ni ya kufunga virago
Tunisia atafunga goli kibao na umeme juu.Hii ndio game ya Afcon itakuwa na goli nyingiMechi ijayo ni ya kufunga virago
labda wewe na mazeri wako ndo mtashinda tatu!tunashinda tatu
Tuliibe na kombe sasa😁😁 hawezi kurudi kawa mdogo kama piriton...wanachojua ni kuiba kura na kupga watu risasi
Kabisawajinga kama akina funaku ni kuwapuuza tu
Tulitoka sare
Why? Who are they?Tulitoka sare
Dey are Taifa Stars maaan!!😁Why? Who are they?
Why washindwe kuwafunga waganda...Dey are Taifa Stars maaan!!😁
Mi hata najua lov itakua kuna mahala walifeliWhy washindwe kuwafunga waganda...