ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Starz Oyeee.... Uzalendo kwanza
wakati tushapigwa..
Starz Oyeee.... Uzalendo kwanza
Leo sina imani kabisa na starz..
Tuna laana ya kutawaliwa na maccm.
Kocha akifika tz ajiuzulu au afukuzwe kaz hatumtaki tena ni heri maximo mara mia
Acha kupotosha watuuuu