AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

ninawasiliana na mtu yupo uwanjani

tumepigwa 1
 
Dar madereva wamekuwa wengi mnatuchannganya

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ina maana tbc wameshindwa kutuonyeshaa hiyo gem
 
wachezaji wa azam ndo wanajitahidi wale wakariakoo wanaruka ruka tu.

@GAAZETI

Dida anaokoa goli hapa na inakuwa kona.
 
Back
Top Bottom