Deo Corleone
maxio marcimo alituwekea mfumo mzuri tu...
jan paulsen akataka kuuvuruga..
kwakua
Tenga kacheza mpira akashtuka
akamrudisha
Kim Paulsen ambaye naye akaendeleza pale kwa maximo kuibua vijana...
siasa zikaingia akaja huyu
Malinzi ..akafukuza kocha akaanza UPYA
kwa kua anataka KUANZA UPYA na KOCHA WAKE MPYA ..tumetolewa "MAKUSUDI" ilitujipange...hahahahahaha
maana tutakua na miaka miwili ya kujifunza na ile timu yake ya TUKUYU....
Don Corleone
hatuwezi kufika mbali kwasababu mpira kwetu SIASA...mpira kwetu FITINA...siasa na fitina ni kama kitu kimoja tu
hatuna uwekezaji ..tunaupotezaji....hatuna mipango tuna mapengo
Don Corleone
toka copa coca cola imeanza ushaona mafanikio yake? imeanza 2009...
umewahi kujiuliza wale watoto waliokua chini ya mpango wa Surnderland na Bolton wako wapi?
Don Corleone
tumetolewa Timu zote kuanzia VIJANA ..WANAWAKE hadi WAZEE
tusubiri ligi yetu ya RUSHWA tuchekane UJINGA ..wa NANI MTANI JEMBE