AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

yaani hakuna hata redio inayotangaza, this is absurd!
 
Staz wanabutua tu,hawajapiga hata pasi5 zinazoeleweka.

Kona ya kwanza staz inapata na inapigwa na Mchezaji wa timu yangu ya Azam
 
Kuna mjinga mmoja kaharibu hali ya hewa eti anamponda Warioba
 
Back
Top Bottom