momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,041
- 2,140
Staz mnakoswa koswa mno.
Aah we jamaa kwa kuingia nazo!mmh
Staz mnakoswa koswa mno.
Kuna mjinga mmoja kaharibu hali ya hewa eti anamponda Warioba
Aah we jamaa kwa kuingia nazo!mmh
Katoka namba kumi ameingia namba 15 yaani huyo ndo hatari mno.
Mambaz tunatisha kama ebola.
Katika hizo 'near miss' ndipo tutakapowachomekea kimoja halafu hakachomoleki, katakatikiamo.
ingia humu Live Stream - TV Mozambique, Maputo - Baixa bila chenga
TV1 Ya Mozambique ila wanaongea kiRonaldo tu kwa sasa ila boli litapigwa hapo saa kumi.
Acha kupotosha watuuuu
Kwenye kundi la m23 ulikuwa unafanya nini.