Afariki wakati akivunja amri ya sita..

Afariki wakati akivunja amri ya sita..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Sio tu binadamu wanakumbwa na mkasa wa kufa wakati wakifanya tendo la ndoa hata wanyama pia inawakuta hii. Vidoe hii inaonyesha MBWADUME AMBAE AFARIKI PAPO HAPO WAKATI LIKIVUNJA AMRI YA SITA NA KUSHINDWA KUUONA MWAKA MPYA 2013

 
Last edited by a moderator:
ulishindwa nini kuandika kichwa cha habari ukataja mnyama,watu tumekuja speed 120 kufungua kumbe unazungumzia mnyama
 
utakua unafanya kazi kwenye magazeti ya udaku, mie nashtuka nadhani jambo la maaana kumbe utumbo utumbo
 
wanyama hawavunji amri ya sita, wao haiwahusu. Hiyo ni yenu wanadamu
 
Sio tu binadamu wanakumbwa na mkasa wa kufa wakati wakifanya tendo la ndoa hata wanyama pia inawakuta hii. Vidoe hii inaonyesha MBWADUME AMBAE AFARIKI PAPO HAPO WAKATI LIKIVUNJA AMRI YA SITA NA KUSHINDWA KUUONA MWAKA MPYA 2013


Peleka kule chit chat mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu anayefariki ni binadamu, siyo mnyama
 
Duh ngoshwe umeniacha hoi ha ha ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
ulishindwa nini kuandika kichwa cha habari ukataja mnyama,watu tumekuja speed 120 kufungua kumbe unazungumzia mnyama

Umeona eeh? Ngoshwe noma sana. By the way yule mbwa kazirai kwa sababu ya ukame wa muda mrefu, wangeendelea na shooting wangemuona akizinduka.
 
Last edited by a moderator:
kwikiwiiiiiiiii yaaan wewe ngoshwe we ni mkali! japo kuwa wote ni mamalia lakin binadam anakipaumbele kuliko mnyama mi nilishajua madent wa vyuo maana hawapungukiwi skendo kumbe duuuh jibwaa
 
Last edited by a moderator:
Hahhahaaaa kakutana na machine kubwa hio hahahahaaaaaa au lbada kawekewa tego huyo
 
Back
Top Bottom