Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Nyie watu msiopitia hata mgambo, hamjui kuwa kijeshi mkuubwako hapingwi wala kukataliwa amri.

Mambosasa ni sisimizi mbele ya IGP.
 
IGP SIRRO.gif

Mimi naona alikuwa amelenga kumsema IGP wa Msumbiji, maana ndie aliyevaa staff shoes na hizo zinazoitwa sare za oparesheni😆😆
 
IGP amekuwa mpumbavu sana kwa kauli hii hadharani.

Kwa IGP mwenye fikra ndefu hizi ni habari za kuambiana vikao vya ndani.

Ama sivyo kuna siasa za kuchafuana hapa.
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035

Kwanza tuambie una miaka mingapi jeshini na unacheo gani? Maana usitake kujifanya ww unajua sana kuliko mtu ambaye ana miaka 40 akiwa Police
 
Mara paaap Siro akumbuka kwamba upolisi ni taaluma. Ni kama ameanza kutumia akili zake ghafla. Nahisi kachoka kukaliwa kichwani ameamua kubutua kombolelaaaaaa
 
Elewa mantiki ya mleta post, msipende kukurupuka kuchangia kama huelewi, ni ujinga, hata waliokupa like Ni wajinga wenzako, wanoendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa.

Mleta uzi kakiri, kasema ni kweli Kamanda Siro aliongea mambo ya msingi ikiwemo na hili ulilolitaja.

Issue ni attacking ya Moja kwa moja kwa Kamanda Mambosasa personally kuhusu dressing code,
Alitakiwa kama anakemea angeongea generally kwa taasisi hiyo, sio kumpointi Mambosasa, wakati hata yeye hafuati dressing code, ndio maana mleta uzi kaweka picha za Kamanda Sirro kama ushahidi wa anachokipinga.

Kamanda Sirro aache woga na afahamu Magufuli hatabiriki, huyohuyo anaemsigina asishangae akawa IGP
Picha gani ambayo afande siro hajafuata dressing code???kuvaa jungle sio kutofuata dressing code na sio kwamba huruhusiwi kufanya press eti kisa tu umevaa jungle

Kuvaa jungle na staff shoes huko ndo kutokufuata dressing code...msiwe mnatetea kila kitu tu kuna siku mtu atavaa uniform za jeshi na kandambili or atatembea peku kabisa kuna watu mtakuja kumtetea

Hayo ya ku mu attack personally,je sheria za jeshi zinakataza mkubwa wako kuku attack personally???...navyojua mimi jeshini wana taratibu zao kwenye mambo mbalimbali,so huwezi kutaka taratibu tunazotumia huku uraiani za kumu attack mtu zitumike na jeshini pia....jeshini huyo mambo leo na nyota zake anaweza kuambiwa na mkubwa wake agaregare kwenye tope or maji machafu na haitakiwi akatae,kinachotakiwa ni apige salute na kuingia kwenye hizo tope bila kuuliza but wewe unashangaa mtu kuambiwa na mkubwa wake kuwa kitendo cha kutokufuata dressing code ni ushamba
 
Ile clip ninayo hapa, nimetazama kwa umakini, Sirro anasema watu wanavaa Jango kila kona, kila muda utadhani muda wote wako operation, na kibaya zaidi wanavaa na staff shoes huu ni ushamba sana.

Sasa nenda kamwambie Mambo sasa aache ushamba wa kuvaa Jango na staff shoes.

Kama Sirro nae aliwahi kuvaa Jango na staff shoes leta picha hapa.

Kingine uwe na adabu huwezi kusema IGP amuombe samahani Mambo sasa, protocol ya jeshi gani hiyo? Au ukiwa na bando unaandika tu?
Mzee huyo jamaa hajui lolote kuhusu jeshi anaongozwa na mihemko tu,ni wa kumpuuza!
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Wewe ni mtoto wa Mambosasa?
 
Elewa mantiki ya mleta post, msipende kukurupuka kuchangia kama huelewi, ni ujinga, hata waliokupa like Ni wajinga wenzako, wanoendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa.

Mleta uzi kakiri, kasema ni kweli Kamanda Siro aliongea mambo ya msingi ikiwemo na hili ulilolitaja.

Issue ni attacking ya Moja kwa moja kwa Kamanda Mambosasa personally kuhusu dressing code,
Alitakiwa kama anakemea angeongea generally kwa taasisi hiyo, sio kumpointi Mambosasa, wakati hata yeye hafuati dressing code, ndio maana mleta uzi kaweka picha za Kamanda Sirro kama ushahidi wa anachokipinga.

Kamanda Sirro aache woga na afahamu Magufuli hatabiriki, huyohuyo anaemsigina asishangae akawa IGP
Mbona alimtaja wa Kinondoni aache unafiki, Matei akamuambia aachie ofisi kwa vijana arudi makao makuu?Wapo wanao mnunia wakipishana kwenye korido kisa amewatoa mikoani kawaleta makao makuu.
Kilikuwa ni kikao cha kukosoana ili wakae mstari mmoja.
 
Chain of command hairuhusu sinior kumuomba msamaha junior wake wale sio viongozi wa siasa ni viongozi wa kijeshi.
 
Jeshini mkubwa ndiye mwenye
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Jeshini mkubwa ndiye mwenye akili
 
Mbona alimtaja wa Kinondoni aache unafiki, Matei akamuambia aachie ofisi kwa vijana arudi makao makuu?Wapo wanao mnunia wakipishana kwenye korido kisa amewatoa mikoani kawaleta makao makuu.
Kilikuwa ni kikao cha kukosoana ili wakae mstari mmoja.
Mroto nae alichanwa fresh kabisaa.
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Mleta maada ni mjinga hujui protocol za kijeshi
 
Umekurupuka hivyo tulia usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza kama una ndugu yako polisi mtafute binafsi ukimuuliza maswali kadhaa nadhani atakujibu vizuri kisha utakuja kufuta (pumba) sorry hii hoja yako
 
Hii tuhuma ya ushambaa hii! Yaani sasa kila mtu anaitoa. Kuna mmoja alisema "sio tu ni mshamba, amechanganyikiwa" ....Anyways ushamba oyeee
 
Picha gani ambayo afande siro hajafuata dressing code???kuvaa jungle sio kutofuata dressing code na sio kwamba huruhusiwi kufanya press eti kisa tu umevaa jungle

Kuvaa jungle na staff shoes huko ndo kutokufuata dressing code...msiwe mnatetea kila kitu tu kuna siku mtu atavaa uniform za jeshi na kandambili or atatembea peku kabisa kuna watu mtakuja kumtetea

Hayo ya ku mu attack personally,je sheria za jeshi zinakataza mkubwa wako kuku attack personally???...navyojua mimi jeshini wana taratibu zao kwenye mambo mbalimbali,so huwezi kutaka taratibu tunazotumia huku uraiani za kumu attack mtu zitumike na jeshini pia....jeshini huyo mambo leo na nyota zake anaweza kuambiwa na mkubwa wake agaregare kwenye tope or maji machafu na haitakiwi akatae,kinachotakiwa ni apige salute na kuingia kwenye hizo tope bila kuuliza but wewe unashangaa mtu kuambiwa na mkubwa wake kuwa kitendo cha kutokufuata dressing code ni ushamba
Onyesha picha full ya Mambosasa tuamini alichokisema Sirro
 
Back
Top Bottom