Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

IGP amekuwa mpumbavu sana kwa kauli hii hadharani.

Kwa IGP mwenye fikra ndefu hizi ni habari za kuambiana vikao vya ndani.

Ama sivyo kuna siasa za kuchafuana hapa.
Mkuu hawa ni askari hawana mambo ya kuremba remba ni moja kati ya mambo mawili, useme usikike au unyamaze yaishe.
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Mkuu Dickson , siuelewi msingi wa hoja yako , kwamba kwa vile Sirro aliwahi kukosea basi Mambosasa naye aendelee kukosea ? kingine ni hiki , huko ambako unasema Mambosasa kamzidi utendaji Sirro ni hilo la Mambosasa kutumika kumteka Mo au kusimamia mauaji ya Akwilina ?
 
kwahiyo taratibu zivunjwe kisa mkuu nae kashawahi kuzivunja?Akili ni nywele so nahisi mtoa mada una upara.
Mleta mada hakumuelewa IGP!
Mambosasa angevaa hivyo na kiatu akapiga cha field ni sawa lakini Mambosasa anapiga field juu chini anatupia kiatu cha ofisini.
Kwa mujibu wa IGP huo ni ushamba
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Mambosasa ni Mshamba sana yan...Afande Sirro Yuko sahihi na aliyoyasema ni Sahihi kwa Lugha ya Kijeshi, hakuna sababu ya kufichaficha ujinga!
 
Sema utakacho, lakini IGP Sirro amesema jeshi la polisi linatumika kisiasa na ndio hasa linaloibeba ccm. Na ameonyesha kujutia dhambi ya kuingilia siasa na kuwa mbeleko ya kuibeba ccm mpaka makada wa ccm wamegeuka kuwadhalilisha polisi. Uzuri ni kwamba amekiri yanayofanywa na jeshi la polisi wakiingia mitandaoni wanakutana na ukweli kuhusu huo ujinga wao, ambao kwa dhamira yake unamsuta. Kwa hiyo kama Sirro sio mnafiki, ccm wajiandae kushindana kisiasa kwani mbeleko inaanza kujitambua.

Sema anapingana na hali halisi Siro ni sawa na bashiru wanaguswa kutumia taaluma zao wakifikilia upande Wa pili wanashindwa maana ndio unaoamua hatima yao.
 
Sema utakacho, lakini IGP Sirro amesema jeshi la polisi linatumika kisiasa na ndio hasa linaloibeba ccm. Na ameonyesha kujutia dhambi ya kuingilia siasa na kuwa mbeleko ya kuibeba ccm mpaka makada wa ccm wamegeuka kuwadhalilisha polisi. Uzuri ni kwamba amekiri yanayofanywa na jeshi la polisi wakiingia mitandaoni wanakutana na ukweli kuhusu huo ujinga wao, ambao kwa dhamira yake unamsuta. Kwa hiyo kama Sirro sio mnafiki, ccm wajiandae kushindana kisiasa kwani mbeleko inaanza kujitambua.

Hana ubavu huo!
Akizuia wizi wa kura anaondolewa saa hiyo hiyo,
CCM ni washenzi wewe! Tuone hivi hivi
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Chini alivaa nini? Lazima uelewe wacha kutetea mambo sasa anaeenda kunywa chai kwa Mo Asubuhi mapema na Suti badala ya kumpeleka kumuhoji ili kujua kapatikanaje
 
Nakumbuka hizi Jango alizivaa Mwigulu siku moja akiwahi igizo lake kule Temeke kuliko vamiwa Bank zilimkaa vizuri
 
Aombe msamaha umeasikia jeshini ni Lumumba au ufipa, uko ni amri na ndio mzee kwisha habari haijarishi boss yupo wrong or right subilia zamu yako ifike uparue na wewe mwenzako
Una Kiswahili cha kishenzi kama cha hao makamanda wako akina Sirro na Mambosasa!
 
Mkuu hawa ni askari hawana mambo ya kuremba remba ni moja kati ya mambo mawili, useme usikike au unyamaze yaishe.
Hiyo kauli Sirro anajiremba kama huelewi habari ndiyo hilo.

IGP asiyetaka kujiremba anawaambia ukweli makamanda wake, kwenye vikao vyao vya ndani.

Ukiona IGP anakemea makamanda wake wakubwa mbele ya camera ujue anajiremba.

Kazi kama za polisi zinaenda na ethics zake za kujenga morality.

Sasa ukimsema wazi kitoto hivyo kamanda ambaye naye ana askari kibao chini yake, huoni kwamba unamfanya hata yeye heshimanyake kwa askari walio chini yake ipungue, halafu akitoa amri isipofuatiliwa kwa sababu umemuumbua itakuwaje?

Nchi yetu siku hizi imekuwa ya uongozi wa ovyo ovyo wa viongozi kuropoka, kwa sababu wanaona mpaka rais anaropoka na wanafikiri kuropoka ndiyo uongozi.

Hawa polisi ni watu wanaobeba silaha, kunatakiwa saikolojia kubwa sana kuwaongiza. Habari za kutafuta sympathy mbele ya cameras kwenye kazi ni weakness kubwa sana kwa IGP.

IGP kumlaumu kamanda mkubwa wazi kwanza kabisa ni kukubali jeshi la polisi halina umakini katika kuchuja nani wa kumpandisha cheo, kwa sababu mtu wa ovyo amepewa ukamanda mkubwa.

Na ukishakubali hilo, unafungua mlango kwa hoja kwamba hata IGP mwenyewe kapandiahwa cheo hivyo hivyo.

Anaona anampaka matope mwenzake, lakini hata yeye anajiharibia.
 
Siku za Siro zinahesabika,Mangu hapendi MTU mjuaji sana..Labda Makonda tu

Unafiki nao ni kazi ngumu kama si hulka yako Siro ni mkweli na muwazi anataka kufanya kazi kitaaluma shida ni muundo Wa jeshi kutoa room ya kutumiwa na wanasiasa.
 
"Mimi nilikuteua, mshahara nikulipe mimi, posho nikulipe mimi, nyumba nakulipia mimi....ole wako ashinde mpinzani.".....alisikika jiwe akinena.
Sema utakacho, lakini IGP Sirro amesema jeshi la polisi linatumika kisiasa na ndio hasa linaloibeba ccm. Na ameonyesha kujutia dhambi ya kuingilia siasa na kuwa mbeleko ya kuibeba ccm mpaka makada wa ccm wamegeuka kuwadhalilisha polisi. Uzuri ni kwamba amekiri yanayofanywa na jeshi la polisi wakiingia mitandaoni wanakutana na ukweli kuhusu huo ujinga wao, ambao kwa dhamira yake unamsuta. Kwa hiyo kama Sirro sio mnafiki, ccm wajiandae kushindana kisiasa kwani mbeleko inaanza kujitambua.
 
Kijeshi mwenye cheo kikubwa ndio mwenye akili.
naamini amekuelewa, the leader is always right. Alichomshauri Igp kufanya is next to impossible. Huyu hata Jkt hakupita. Ingemsaidia kujua mfumo wa kiutawala wa majeshi. Ni utawala, ni amri. Vinginevyo ukianzisha mijadara ipo siku hata songa mbele kwenye mapambano utaanza kuhoji. Serikali ongezeni kamba za Jkt, 'ujinga' wa aina hii utapungua kwa vizazi vijavyo.
 
Kweli maisha yanaenda kasi saaana! Leo Dickson Ng'ihly kutoka uanaharakati wa siasa za upinzani hadi kumtetea Mambosasa?
 
Back
Top Bottom