Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

Hivi akili unayotumia ni umepewa na Mungu na umepewa na ccm???
Eti aombe msamaha, kwani alikuambia alimsema bahati mbaya???
Mambosasa ni wa kufyekelea mbali maana alileta ujinga hasa ishu ya MO.
Unakuwaje kamanda wa kwenye ma TV?KAMATA WAHALIFU TUPA NDANI FUNGUA MASHITAKA.OVER
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
 
Aombe msamaha umeasikia jeshini ni Lumumba au ufipa, uko ni amri na ndio mzee kwisha habari haijarishi boss yupo wrong or right subilia zamu yako ifike uparue na wewe mwenzako
 
Yaani kweli mtu anasema Inspecta General amuombe msamaha mtu wa chini yake! kuna msemo unasema mkubwa huwa hakosei hata kama yy amewahi fanya alichokemea lkn mkuu ni mkuu tu.Yaani ukute Rais anamuomba msamaha mkuu wa mkoa kivipi ?
 
Hiyo kazi unapaswa uliyeko chini ni kupokea order tu
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
 
Screenshot_20190924-074733.png
 
Jungle dress haivaliwi na staff shoes ndio ushamba aliozungumzia afande Sirro. Kwamba Mambo now amefanya vema kuliko Sirro huo nao ni mjadala mwingine. Ila ishu ya Aqulina Aquline yaweza kupambanua uwezo wake.
 
Yani kuna watu siasa zilishawafanya mjifanye mnajua na hamjui kitu...kila tukio ni siasa,kila kitu kidogo cha watu na mambo yao ni ccm,siku je mkija kujua hata Mbowe ni ccm sijui mtafanya nini.jengeni hekima na busara kufanya kazi zenu na ya watu muyaache yaendelee..kimbele mbele wakati mwingine kinaweza kukufedhehesha
Mkuu mbona unakurupuka kama kile kitu? Soma vzr alichoandika mwenzio, ni ukweli usiopingika kuwa jeshi la polisi linatumika vby sana na ccm.
 
Afadhali mambo sasa anapiga jungle na staff shoes yeye alikuwa anapiga jungle na katambuga za kimasai
 
Mkuu mbona unakurupuka kama kile kitu? Soma vzr alichoandika mwenzio, ni ukweli usiopingika kuwa jeshi la polisi linatumika vby sana na ccm.
Na wewe ni walewale. Habari nyingine lakini nyie mnaona mahaba yenu ya uvyama tu. Mkilala, mkiamka Chadema, CCM tu...
 
Mambosasa aliyesherehekea ushindi wa Waitara / CCM Ukonga? Mbona yeye hakutuomba radhi wananchi.
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Mkuu salamaaa?

Kamanda Sirro amesema unapotoka kwenye press na JANGLE unatakiwa kuyanena ya operation uliyofanya kuonyesha kwamba mlikua keenye operation Kuna picha moja anaonyeaha gari lililomteka Mo Dewji, alikua na haki ya kuvaa vazi lile kwakua ilikua ni operation TAFUTA MO, picha nyingine inabidi ututupie na description kwamba alikua anazungumzia nini kwenye press.

Aidha amezungumzia kuvaa JANGLE na staff shoes, pia na kutopiga kiwi viatu.

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mavazi ya mambo sasa kila ukikutana naye utakuta kavaa JANGLE at least nilishakutana naye in person akiwa katika JANGLE.

Unataka aombe msamaha kwa vipicha ulivyotuma visivyo na maelezo. U CAN DO BETTER THAN THAT BRO
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
kamanda siro ameongea ukweli
 
Sema utakacho, lakini IGP Sirro amesema jeshi la polisi linatumika kisiasa na ndio hasa linaloibeba ccm. Na ameonyesha kujutia dhambi ya kuingilia siasa na kuwa mbeleko ya kuibeba ccm mpaka makada wa ccm wamegeuka kuwadhalilisha polisi. Uzuri ni kwamba amekiri yanayofanywa na jeshi la polisi wakiingia mitandaoni wanakutana na ukweli kuhusu huo ujinga wao, ambao kwa dhamira yake unamsuta. Kwa hiyo kama Sirro sio mnafiki, ccm wajiandae kushindana kisiasa kwani mbeleko inaanza kujitambua.
Elewa mantiki ya mleta post, msipende kukurupuka kuchangia kama huelewi, ni ujinga, hata waliokupa like Ni wajinga wenzako, wanoendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa.

Mleta uzi kakiri, kasema ni kweli Kamanda Siro aliongea mambo ya msingi ikiwemo na hili ulilolitaja.

Issue ni attacking ya Moja kwa moja kwa Kamanda Mambosasa personally kuhusu dressing code,
Alitakiwa kama anakemea angeongea generally kwa taasisi hiyo, sio kumpointi Mambosasa, wakati hata yeye hafuati dressing code, ndio maana mleta uzi kaweka picha za Kamanda Sirro kama ushahidi wa anachokipinga.

Kamanda Sirro aache woga na afahamu Magufuli hatabiriki, huyohuyo anaemsigina asishangae akawa IGP
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Dogo usiyoajua yaache Kama yalivyo acha kuleta ushamba wako hapa, yaani IGP amuombe msamaha Mambosasa???
Protocol ya wapi hyo?
 
Elewa mantiki ya mleta post, msipende kukurupuka kuchangia kama huelewi, ni ujinga, hata waliokupa like Ni wajinga wenzako, wanoendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa.

Mleta uzi kakiri, kasema ni kweli Kamanda Siro aliongea mambo ya msingi ikiwemo na hili ulilolitaja.

Issue ni attacking ya Moja kwa moja kwa Kamanda Mambosasa personally kuhusu dressing code,
Alitakiwa kama anakemea angeongea generally kwa taasisi hiyo, sio kumpointi Mambosasa, wakati hata yeye hafuati dressing code, ndio maana mleta uzi kaweka picha za Kamanda Sirro kama ushahidi wa anachokipinga.

Kamanda Sirro aache woga na afahamu Magufuli hatabiriki, huyohuyo anaemsigina asishangae akawa IGP

Ni wapi nimempinga mleta post, au ww ndio unauelewa finyu? Kwa hiyo huyo Sirro anaweza kutolewa maana kaanza kujitambua hivyo mnatafuta msukule mwingine ama?
 
Tufike mahala tuseme ukweli hata kama ni mchungu, IGP Simon Sirro alijua fika kuwa mkutano wake umehudhuriwa na waandishi wa Habari na kwamba chochote akisemacho kitaufikia umma.

Yako mengi ameyasema ambayo ni ya maana sana but kuna moja nadhani kateleza. Ni kweli dressing code ya Polisi Tanzania inapashwa kufuatwa, Hata hivyo; kitendo cha IGP Sirro kumshambulia Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Afande Mambosasa, sio cha kiungwana.

Mavazi aliyomsema ndo na yeye amewahi kuyavaa na sio kwamba alikuwa porini au kwenye operation, aliyavaa kwenye “Press.” Swali je! Kajua umuhimu wa dress code leo, au ilikuwa ni nia ya kurudisha mashambulizi kwa Afande Mambosasa ambaye kimsingi ameonekana kufanya “vizuri” zaidi yake wakati akiwa Kamanda wa Kanda hiyo!

Nadhani kwa uungwana, ni vema na ni busara kwa Afande Sirro kumuomba msamaha Afande Mambosasa. Kama kweli anahuburi umoja ndani ya polisi, basi hakupaswa kutaja jina la Afande Mambosasa; angekemea kwa ujumla na ndo hapo nasema IGP Sirro kateleza.

Katika picha, ni vazi la kipolisi (jungle) ambalo ni maalum kwaajili ya oparesheni, na IGP Sirro kakemea kuwa halipaswi kuvaliwa wakati wa “press,” hata hivyo, katika uchunguzi wangu mdogo mitandaoni, umeonyesha kuwa yeye mwenyewe Afande Sirro, ni mvaaji mzuri wa vazi hilo nje ya oparesheni.View attachment 1216030View attachment 1216031View attachment 1216032View attachment 1216034View attachment 1216035
Nyie watu msiopitia hata mgambo, hamjui kuwa kijeshi mkuubwako hapingwi wala kukataliwa amri.

Mambosasa ni sisimizi mbele ya IGP.
 
Back
Top Bottom