Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

Sema utakacho, lakini IGP Sirro amesema jeshi la polisi linatumika kisiasa na ndio hasa linaloibeba ccm. Na ameonyesha kujutia dhambi ya kuingilia siasa na kuwa mbeleko ya kuibeba ccm mpaka makada wa ccm wamegeuka kuwadhalilisha polisi. Uzuri ni kwamba amekiri yanayofanywa na jeshi la polisi wakiingia mitandaoni wanakutana na ukweli kuhusu huo ujinga wao, ambao kwa dhamira yake unamsuta. Kwa hiyo kama Sirro sio mnafiki, ccm wajiandae kushindana kisiasa kwani mbeleko inaanza kujitambua.
Wewe umeamini kuwa majuto hayo yametoka moyoni na yana nia njema? Kwamba amejua leo kuwa Jeshi linatumika kisiasa? Amejua leo kuwa Akwilina amekufa kwa makosa ya Polisi? Kwamba Mapolisi woote walipokuwa wnatoa ushahidi Mahakamani yeye Siro hakuwa na taarifa kuwa wanaenda kutoa ushahidi wa uwongo maana makosa yao ndio yaliyosababisha Akwilina afe?
 
Wewe umeamini kuwa majuto hayo yametoka moyoni na yana nia njema? Kwamba amejua leo kuwa Jeshi linatumika kisiasa? Amejua leo kuwa Akwilina amekufa kwa makosa ya Polisi? Kwamba Mapolisi woote walipokuwa wnatoa ushahidi Mahakamani yeye Siro hakuwa na taarifa kuwa wanaenda kutoa ushahidi wa uwongo maana makosa yao ndio yaliyosababisha Akwilina afe?

Angalia kwenye huo uzi wangu hapo mwisho mwisho kuna mahali nimesema kama Sirro sio mnafiki. Hata hicho kitendo cha kukiri hadharani hiyo tabia tu inadhibitisha yale madai ya wapinzani ni kweli, iwe ni dhamira ya ukweli na hiyo ya jadi ya unafiki.
 
Yote kumi mie nachekaa tena hilo lipicha la gari et CCTV duuuh mimi tu mgambo wa jiji hunidanganyi je hao waliosoma inakuwaje????
 
Utakuwa umetumwa ww!

Sirro kasema ukweli mtupu! Anajuta Taswira lilonalo Jeshi la Polisi kwa wananchi kwa sasa hasa baada ya Jeshi kujiingiza ktk Siasa.

Binafsi naungana na Sirro kusema Mambosasa ni Mshamba na Ana Pelekeshwa kama mtoto na Bashite. Oparesheni zao nyingi ni za Kijinga kijinga tu. Yaani utadhani siyo askari vile.
 
Ya wezekana mtoa mada alikua na wazo zuri ila shida ameshindwa ku control hisia zake na hii inatokana kuliangalia jambo kwa lengo la kukosoa sio kuelewa....by the way usi changanye siasa zenu za upinzani na jeshi
 
Sidhani kama IGP Sirro aliitisha Press kwa ajili ya kusema alicho kisema. Hivyo, kwa kuwa aliyasemea kwao tuwaachie wamalizane wao kwa wao. Hakusema tumshambulie Mambosasa
 
kwahiyo taratibu zivunjwe kisa mkuu nae kashawahi kuzivunja?Akili ni nywele so nahisi mtoa mada una upara.
Wewe ndiyo utumii akili kama Na yeye alivunja taratibu kwanini amnyooshee kidole mwenzake kitu alicho takiwa kukifanya ni kujisema na yeye kuwa wamekosea sasa warudi ndani ya mstari
 
Back
Top Bottom