Huyu Sele scientific sana anaposema ana abudu jua. Jua bila shaka ndio source msingi ya uhai. Bila jua mimea haito(kumbuka process ya photosynthesis), bila mimea wanyama wote wanaangamia. Jua hilo hilo ndio kisababishi cha mzunguko wa maji/hydrological cycle.Sele anayo haki kuabudu jua,Sele hana haki ya kushambulia imani za watu wengine.
Mimi nilisema huyo shekhe ubwabwa kishki ajiangalie ni mtu wa mihemko sana , na ni mwanaharakati uchwara pia , Afande hadi leo anagonga kaya kama kawaida na ugali , huwezi kuwa kiongozi wa dini unamihemko na jazba kama kishki kwani Mungu alimtuma ama aliklurupuka tu aonekane yeye ndio mcha Mungu zaidi, hawa mashehe watumie busara sana vinginevyo wanageuka vituko tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.