Afande Sele( Seleman Msindi), asomewa dua ya kufa kabla ya Ramadhan ya 2021 kufika, atuhumiwa kumkufuru Mungu

Tatizo la mashekhe wengi hawakupata Elimu ya kawaida wao muda wote wanawaza adhabu na kifo waislamu wengi wapo jela hata siku moja hawakuwahi kuwaombea dua wamekuwa wanafiki kujiingiza kwenye mambo yasiyowahusu...
 
Au tulimnukuu vibaya kishki huwenda hakusema ramadhan ya mwaka huu??
 
Ukimhukumu mwenzio nawe utahukumiwa piaa na Alie juu, viongozi wetu badala ya kumuombea msamaha wao wanaomba afe / hukumu moja kwa moja kwa Mungu dah
 
Afande Sele alisha tubia na akaomba msamaha,Mungu alisha tuahidi kua milango ya toba ipo wazi,Mungu atakua ameikubali toba yake na amemsamehe,
Hii Dunia ni vizuri kukumbushana unapoona mwenzako anapotoka.
 
Miungu ipo mingi sana sasa afande sele alikuwa anamlalamikia mungu yupi?/pengine mungu aliyekuwa analalamikiwa hakuwa mungu wa Hugo sheikh wetu!
 
Back
Top Bottom