Afande Sele( Seleman Msindi), asomewa dua ya kufa kabla ya Ramadhan ya 2021 kufika, atuhumiwa kumkufuru Mungu

Sheikh atoke tena hadharani au tayari huko maana si kwajaziba zile!
 
Huyu Sele scientific sana anaposema ana abudu jua. Jua bila shaka ndio source msingi ya uhai. Bila jua mimea haito(kumbuka process ya photosynthesis), bila mimea wanyama wote wanaangamia. Jua hilo hilo ndio kisababishi cha mzunguko wa maji/hydrological cycle.Sele anayo haki kuabudu jua,Sele hana haki ya kushambulia imani za watu wengine.
 
Mimi nilisema huyo shekhe ubwabwa kishki ajiangalie ni mtu wa mihemko sana , na ni mwanaharakati uchwara pia , Afande hadi leo anagonga kaya kama kawaida na ugali , huwezi kuwa kiongozi wa dini unamihemko na jazba kama kishki kwani Mungu alimtuma ama aliklurupuka tu aonekane yeye ndio mcha Mungu zaidi, hawa mashehe watumie busara sana vinginevyo wanageuka vituko tu
 
Vyombo vya ulinzi vimlinde, asijefanyiwa mambo yasiyo huko mtaani ili ionekana kauawa kwa sababu alitukana.
 
Back
Top Bottom