We acha kuongea kitahahira.na uzuri uwezi kuwachagulia watu mbunge au kiongozi.huyo huyo Sugu wana mbeya uwaambii kitu.Pole maana roho itakuuma sana juu ya Mnyika,Sugu,Lema.hawaja soma sana sawa lakini PILIKA ZAO MITAANI ZIMEWAFIKISHA MNJENGONI.maisha yao yapo MIKONONI mwa MUNGU wakati unawawazia mabaya MUNGU anawawazia MEMA.Ana mipango gani ya kuleta maendeleo? Au ndio kwenda kuruhusu bangi bungeni! Eti apambane na Abood! Hao washabiki wake wote hawajawahi kujiandikisha kupiga kura! Atapambana vipi? Kweli tuwe na mbunge mvuta bangi na teja bungeni? Hata kama wana Moro wameichoka ccm sidhani kama watamchagua huyu teja! Mihemko haina maana ktk uchaguzi. Tujiulize, Sugu ameleta maendeleo gani mbeya? Mnyika ubungo ameleta nini? Lema huku kila siku maandamano,leo mnaongeza teja lingine kwenye orodha! Wana Moro ni waelewa hawawezi kufanya uchguzi huu kwa Teja na mbwia unga kama Sele!
Mwenzako ana masters tena ya kwa malkia wewe endelea kushangaaa
Mnyika unamsingizia aisee we kama uko Ujiji unatakiwa uulize kwanza.
View attachment 123854
Haya bana!Kila la kheri mtupori! Lakini kauli zako zilenge zaidi jinsi gani utawaletea maendeleo wana morogoro ambayo Abood amekwama kuyatekeleza.
Hata Baba yako JK mr DHAIFU kaifanya TANZANIA kuwa nchi ya kupita na kupatikana madawa ya kulevya kirahisi mno.Muda wa baba yako ukipita nenda ukakamatwe tena china na madawa uone.na laana ya kuwaharibu vijana kwa madawa utaibeba tu na ipo siku Mungu atakulipa sawasawa na matendo yako.Sugu na Lema wamefanya Ubunge Tanzania umekuwa kitu rahisi sana.
He he he he, si unajua tukiwa gwandani we become saints.
Hapo ameshavaa
Lazima umsifie si mwehu mwenzako!
Ana mipango gani ya kuleta maendeleo? Au ndio kwenda kuruhusu bangi bungeni! Eti apambane na Abood! Hao washabiki wake wote hawajawahi kujiandikisha kupiga kura! Atapambana vipi? Kweli tuwe na mbunge mvuta bangi na teja bungeni? Hata kama wana Moro wameichoka ccm sidhani kama watamchagua huyu teja! Mihemko haina maana ktk uchaguzi. Tujiulize, Sugu ameleta maendeleo gani mbeya? Mnyika ubungo ameleta nini? Lema huku kila siku maandamano,leo mnaongeza teja lingine kwenye orodha! Wana Moro ni waelewa hawawezi kufanya uchguzi huu kwa Teja na mbwia unga kama Sele!
View attachment 123854
Haya bana!Kila la kheri mtupori! Lakini kauli zako zilenge zaidi jinsi gani utawaletea maendeleo wana morogoro ambayo Abood amekwama kuyatekeleza.
Sugu na Lema wamefanya Ubunge Tanzania umekuwa kitu rahisi sana.
Teh teh teh!!Sijui aliwaza nini kamanda akaamua kujichua hadharani namna hiyo. Bangi mbaya sana kwakweli.
watu jamii ya sugu, lema, nyasari, kibajaji na huyo aitwaye sele aliyefukuzwa jeshini na mvua nguo sidhani kama pale bungeni panawafaa. hawana mchango wowote zaidi ya matusi tu. kwanini chadema et al. wasiteue watu wenye akili zao kuliko hizi takataka? au ndo masilahi ya chama kwanza taifa baadaye?
Romania kama sikosei wana mbunge kwenye EU ni mkali mno na alikuwa muuza mwili wake sasa sijui unasemaje ?Yeye anakula ganja unajua kuna watu wana baka , wanauza unga nk nasemaje juu ya hao ?