Mtua kama wewe ndio mnachangia nchi hii kurudi nyuma yaani hata hufahamu kinachoendelea katika nchi hii,hivi unaishi wapi mjomba hata Rasimu ya katiba hujaisikia au kuambiwa inasemaje kuhusu Mbunge acha kupotisha watu mkuu kwa kukusaidia tu ni hivi Mbunge anatakiwa awe atleast na Elimu ya Sekondari na mwenye kuhitaji Degree ni RAIS so hata wewe kama una FORM 4 yako ruksa kuwa mbunge sema kwa Proffesor Maji Marefu Mbunge wa Korogwe Vijijini imekula kwake moja kwa moja maake yeye ni la sabaaaaaaaaaaaaaaa i mean STD 7.Kila la kheri king of rhymes lakini msumeno wa mbunge awe na degree utakukata,mr 11 naye yuko kitanzini mbowe imemkosa kidogo........,lema ni muhanga pia