Afande Sele: Nitapambana na Abood

Afande Sele: Nitapambana na Abood

Huyu bwana Msuba aendelee kuwa mwanamuziki. Sidhani kama anafaa kuwa mmbunge. mwenzake aling'oa spika huyu atang'oa meza ya speaker zikimpanda kichwani. Au kuvua nguo kama alivyozoea
 
watu jamii ya sugu, lema, nyasari, kibajaji na huyo aitwaye sele aliyefukuzwa jeshini na mvua nguo sidhani kama pale bungeni panawafaa. hawana mchango wowote zaidi ya matusi tu. kwanini chadema et al. wasiteue watu wenye akili zao kuliko hizi takataka? au ndo masilahi ya chama kwanza taifa baadaye?

unaijua elimu ya nasari wewe?au unaropoka tu.
 
siwezi kumchagua mla ganja hata iweje morogoro ubunge upati hacha kwanza ganja
 
Kila la kheri king of rhymes lakini msumeno wa mbunge awe na degree utakukata,mr 11 naye yuko kitanzini mbowe imemkosa kidogo........,lema ni muhanga pia

Ndani ya Katiba ya Chadema toleo la 2006. Katika Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama. Sura ya 10, Ibara ya ix, imeandikwa: "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya Uongozi wa Chama au Wanachama wake."

Na katika Katiba hiyo hiyo Sura ya 7 kuhusu kazi za Kamati Kuu, Ibara ya 7, Ibara ndogo t, imeandikwa: "Kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza Mwanachama." Na Ibara ndogo v, imeandikwa: "Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na Katiba, Kanuni na Maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."
 
siwezi kumchagua mla ganja hata iweje morogoro ubunge upati hacha kwanza ganja

Romania kama sikosei wana mbunge kwenye EU ni mkali mno na alikuwa muuza mwili wake sasa sijui unasemaje ?Yeye anakula ganja unajua kuna watu wana baka , wanauza unga nk nasemaje juu ya hao ?
 
watu jamii ya sugu, lema,
nyasari, kibajaji na huyo aitwaye sele aliyefukuzwa jeshini na mvua nguo
sidhani kama pale bungeni panawafaa. hawana mchango wowote zaidi ya
matusi tu. kwanini chadema et al. wasiteue watu wenye akili zao kuliko
hizi takataka? au ndo masilahi ya chama kwanza taifa baadaye?

Takataka ee?nanaujasiri enyi mezi,hao wasafi wenu wametufanyia nn,nyie ndo mmetufanya tuwe takataka na tutachaguana sisi kwa sisi.
 
Teh teh teh!!Sijui aliwaza nini kamanda akaamua kujichua hadharani namna hiyo. Bangi mbaya sana kwakweli.

Ana mipango gani ya kuleta maendeleo? Au ndio kwenda kuruhusu bangi bungeni! Eti apambane na Abood! Hao washabiki wake wote hawajawahi kujiandikisha kupiga kura! Atapambana vipi? Kweli tuwe na mbunge mvuta bangi na teja bungeni? Hata kama wana Moro wameichoka ccm sidhani kama watamchagua huyu teja! Mihemko haina maana ktk uchaguzi. Tujiulize, Sugu ameleta maendeleo gani mbeya? Mnyika ubungo ameleta nini? Lema huku kila siku maandamano,leo mnaongeza teja lingine kwenye orodha! Wana Moro ni waelewa hawawezi kufanya uchguzi huu kwa Teja na mbwia unga kama Sele!
 
Kila la kheri king of rhymes lakini msumeno wa mbunge awe na degree utakukata,mr 11 naye yuko kitanzini mbowe imemkosa kidogo........,lema ni muhanga pia
Sawa Mwekundu. kwa SHERIA hiyo ikipita tayari itakuwa imemvua Abood ubunge maana yeye ni Four na katoka na f
 
Tatizo letu vijana tunajiunga na CDM lengo likiwa ni kupata uongozi. Afande Sele kajiunga na CDM juzijuzi tu, hajajua hata mikakati iliyopo, leo anasimama kutangaza vita ya ubunge na Abood.
 
Ana mipango gani ya kuleta maendeleo? Au ndio kwenda kuruhusu bangi bungeni! Eti apambane na Abood! Hao washabiki wake wote hawajawahi kujiandikisha kupiga kura! Atapambana vipi? Kweli tuwe na mbunge mvuta bangi na teja bungeni? Hata kama wana Moro wameichoka ccm sidhani kama watamchagua huyu teja! Mihemko haina maana ktk uchaguzi. Tujiulize, Sugu ameleta maendeleo gani mbeya? Mnyika ubungo ameleta nini? Lema huku kila siku maandamano,leo mnaongeza teja lingine kwenye orodha! Wana Moro ni waelewa hawawezi kufanya uchguzi huu kwa Teja na mbwia unga kama Sele!

Mnyika unamsingizia aisee we kama uko Ujiji unatakiwa uulize kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom