Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

CHADEMA maeneo yote ya tanzania, watu wote tunahamu ya kuwa na wabunge wapiganaji kama mchungaji msigwa na mr 2
 
CHADEMA nina hakika mtakua makini wakat wa uteuzi. Pia ninashauri msirudie makosa...isijekua CDM bila Seleman Morogoro haiwezekani na kuanza kutumia nguvu nyingi kuprove otherwise.
 
Lema kafanya ubunge umekuwa kitu rahisi sana.

wacha upumbavu Ritz, Maji marefu je na taaluma yake ya ugagula kapitishwa na Lema? Lusinde je?

Baba yenu Kikwete ndio kafanya taasisi ya urahisi ionekane kama gheto au guest house kuwa kila mtu anaweza kupanga na kuishi pale Magogoni kwani kumekuwa Magogoni Guest House!

Kisandu anataka uraisi,Dovutwa anataka uraisi,January anataka,Nyalandu,Wasira etc kisa role Model wao jeykey Kaweza!!!!!!
 
Akili yako changa sana, soma historia, kuanzia akina mfalme Daudi, walikuwa wanamziki, unamkumbuka Shaba Robert, Unamkumbuka Bob Marley, Meriam Makeba je. Unajua nguvu zao za kisiasa.

Komba wa CCM Vipi?

Akwambia KOMBA ni Mwanajeshi aka CAPTAIN
 
Akwambia KOMBA ni Mwanajeshi aka CAPTAIN
He has never been an active soldier,hao walikuwa wanajeshi wa kimangumashi wakipelekwa jeshini kisiasa zaidi kuliko kitaaluma.
Hili zoezi lilikuwa likiwakera sana professional soldiers,afadhali tuliondokana na upuuzi huu.
 
Askari, makada. Wewe nimekukubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom