Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

Haiwezi kuwa HARAMU kwako ukataka iboreshwe, ikiboreshwa itakua halali kwako?
Kwa nini gongo inapigwa marufuku halafu Konyagi inaruhusiwa? Wewe unatumia ubongo kufikiri?
 
Kwa kata si haba. Kwa yeyote anayeijua hii timu, anajua kichapo watakachopata CCM Morogoro.
 

Attachments

  • SAM_0535.JPG
    SAM_0535.JPG
    564.3 KB · Views: 73
Halafu na huyu, Duhhh.
 

Attachments

  • SAM_0549.JPG
    SAM_0549.JPG
    877.8 KB · Views: 72
...

.....Nilipita Moro wananchi wamechachamaa !!!!!
wananchi wamechachamaa nini toa maelezo yakutoshaa na kueleweka sio maelezo madogo yanakushinda.Navyojua yeye sio mjumbe,balozi,m/kiti serekali za mtaa,diwani,mbunge nyoosha maelezo.ndio anaanza japo na yeye aendeshe kilimo kwanza one day.
 
wananchi wamechachamaa nini toa maelezo yakutoshaa na kueleweka sio maelezo madogo yanakushinda.Navyojua yeye sio mjumbe,balozi,m/kiti serekali za mtaa,diwani,mbunge nyoosha maelezo.ndio anaanza japo na yeye aendeshe kilimo kwanza one day.
Hawaitaki CCM, wapigie magamba wenzako wakwambie.
 
Sasa mbunge wa Morogoro mjini anahangaika kweli, tulimwona chilakale, peke yake akiongea na bodaboda kama kumi hivi, akaonekana tena mafiga, vijana wanadai walikataa mafuta ya bure, sijui ni kweli au walilamba bingo. Hii ilikuwa siku ya jumapili.
 
Mpaka kieleweke afande, yaan nafsi yangu imesuuzika na kuwa na amani sana baada ya kujionea kwamba kwa sasa mpaka majimbo ya wana-tabora nao wameichukia c.c.m uthibitisho ni kupitia ziara ya katibu mkuu wa chama huku tabora, watu nyomi.
 
Labda Morogoro nyingine na siyo hii ninayoishi mimi.
 
teh teh teh...na damu ya kjana muuza magazeti mlioimwaga pale msamvu...anyway time will tell.

Mkuu siyo kwamba namdharau Selemani Msindi (Afande sele)....la hasha, bali philosophy ya watu wa Morogoro ndiyo inayonipa shida. Kuing'oa CCM hapa Moro-town jamaa afanye kazi ya ziada.Labda 2015 CDM waache kufanya kampeni mikoa mingine wahamie Morogoro viongozi wote, wapite nyumba hadi nyumba labda kidogo Waluguru watawaelewa, kinyume na hapo itakuwa ndoto za Alinacha.
 
Back
Top Bottom