Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

Afande Sele: Lazima CHADEMA Itashainda Morogoro

Hii nayo kali ndani ya offisi ya Kata, kichangani
 
Attachments

  • 20131214_153814.jpg
    20131214_153814.jpg
    402.4 KB · Views: 170
Hii nayo ilipendeza sana Makamanda, Makamba, Adv Tarimo, na wengine. Chezea Afande Sele wewe.
 
Attachments

  • SAM_0545.JPG
    SAM_0545.JPG
    1.1 MB · Views: 105
  • SAM_0551.JPG
    SAM_0551.JPG
    1.1 MB · Views: 89
...

.....Nilipita Moro wananchi wamechachamaa !!!!!

Abood anajipa matumaini na basi la kuzika analowapa watu wa Morogoro, lakini anajidanganya. Kama CCM wanataka kweli kuleta ushindani wa maana Morogoro mjini, 2015 waweke mgombea mwingine, sio Abood maana pale jimbo limeshaondoka...
 
Kwa sera za kuhalalisha GONGO na watu makini kama afande Sele lazima jimbo lichukuliwe na CDM
 
Kwa sera za kuhalalisha GONGO na watu makini kama afande Sele lazima jimbo lichukuliwe na CDM
Hivi tofauti ya Gongo na Kiroba ni nini? Wananchi wanaweza kupata mitambo midogo ya kuboresha gongo kuwa kiroba. Ingawa mimi sipendi hii haramu.
 
Watu wa kilosa wanamuhitaji, watu wa raha wamualika, kupendwa raha.
 
Hivi tofauti ya Gongo na Kiroba ni nini? Wananchi wanaweza kupata mitambo midogo ya kuboresha gongo kuwa kiroba. Ingawa mimi sipendi hii haramu.

Wewe nawe ni mshauri wa babu?
 
Hivi tofauti ya Gongo na Kiroba ni nini? Wananchi wanaweza kupata mitambo midogo ya kuboresha gongo kuwa kiroba. Ingawa mimi sipendi hii haramu.
Haiwezi kuwa HARAMU kwako ukataka iboreshwe, ikiboreshwa itakua halali kwako?
 
Siku watu wa Morogoro wanachagua huyu Teja awe mbunge itakua maajabu ya nane maana sidhani hawa watu kama watakua wanapiga kura wakiwa na akili timamu. Pale labda Aziz aamue mwenyewe basi sitaki tena Ubunge kwa sample hizi za mibange CDM mtasubiri sana.
 
Back
Top Bottom