shambaraha
Senior Member
- Dec 24, 2014
- 109
- 17
Humpendi afande unampenda Lema?
Haha..una kura ngapi na nini ulitaka kwake unachodhani hakipo?Kuna mixed msg in your posting.Baki n ahiyo class yako muzee.Experience yangu inonyesha watu wenye class za kijinga bongo ndio walimpigia Jk kura kwa muonekano,sijui mshikaji ,mtu wa watu na upuuzi mwingine.In fact kwa taarifa yako kuna mengi sana dunia inatamani weka mashine kabisa.MP ni msg tuu si thinker au philosopher,au MC ...as long as ana represent watu na si kuji represent yeye atakuwa kafaa mengine ni bonus tuu.Ndio maana mnaowachagua kwa hizo sifa zenu wanaishia kutowapa hata sehemu ya bonus achilia mbali mambo ya msingi.Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!
Haha..una kura ngapi na nini ulitaka kwake unachodhani hakipo?Kuna mixed msg in your posting.Baki n ahiyo class yako muzee.Experience yangu inonyesha watu wenye class za kijinga bongo ndio walimpigia Jk kura kwa muonekano,sijui mshikaji ,mtu wa watu na upuuzi mwingine.In fact kwa taarifa yako kuna mengi sana dunia inatamani weka mashine kabisa.MP ni msg tuu si thinker au philosopher,au MC ...as long as ana represent watu na si kuji represent yeye atakuwa kafaa mengine ni bonus tuu.Ndio maana mnaowachagua kwa hizo sifa zenu wanaishia kutowapa hata sehemu ya bonus achilia mbali mambo ya msingi.