Itakuwa dharau kubwa kwa watu wa mkoa wa Morogoro, Afande Sele awe mbunge wetu?Khah!Sina tatizo na tatizo na imani yake ya Urasta wala sina tatizo na uvutaji bangi wake.Mbona wapo viongozi wengi tu wanavuta bangi lakini wanafanya vizuri kwenye nafasi zao?Tatizo langu kwake lipo kwenye haiba (personality) na mwonekano (appearance),come on hivi vitu ndivyo vina_command respect kwa kiongozi yeyote awaye.Kuna watu wanavuta bangi lakini kwasababu wana personality nzuri na appearance nzuri na wanajithamini huwezi kuwahisi kama wanavuta bangi,Mfano Joseph Mbinyi (Sugu) ambaye ni mbunge wa Mbeya mjini yupo safi kabisa na yuko presentable!Wakimweka Sele kwenye Ubunge then nitachagua rais na diwani tu.