Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

Standalone

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
676
576
Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, Na mtia nia wa ubunge Jimbo la Morogoro mjini(CHADEMA) amejiandaa vizuri kunyakua kiti Ubunge Morogoro mjini ambapo amekuwa akifanya harakari za hali ya juu kuhakikisha anamuondoa mbunge aliyeko wa CCM...

Akizungumza hivyi karibuni Afande sele amesema imefika wakati sasa jimbo hilo kumpata kiongozi atakaye wasemea wana moragoro matatizo yao na sio mfadhili..nanukuu Tunataka mbunge msemaji na mteteaji haki sio mfadhili(Mfanyabiashara)

Pia amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya.

Picha chini Afande Sele akiwa katika harakati za ukombozi..
7b98f-sam_0283.jpg
Afande-Sele.jpg



========Updates======

Wakuu, Hatimaye Afande sele Amejiunga na ACT.

Ikumbukwe pia Kabla ya kuja CDM alitokea CUF..

Ninamtakia safari njema Huko aendako...Safari ya mabadiliko ni ndefu sana..
attachment.php
 
Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!
 
Hata Mh. J. Mbilinyi yaliwatoka maneno kama hayo, mda mwingi unampima mtu kwa physicsal appearance yake na Itikadi yakwenu. Umnasahau kumjudge mtu kwa kuangilia visions na weredi wake.
 
Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!

Sijaona la ajabu hapo. Bado Chadema au Ukawa hawajampitisha huyo kugombea ila yeye kasema anatangaza nia na ni haki yake. Lakini bado watakuja wengi sana kutoka kwa vyama vyote washirika wa Ukawa na watachujwa kupata aliye bora zaidi.
Wasichoelewa wengi ni techinicality za Afande Sele kutangaza nia, ni kuwa kama hatapitishwa na vyama hivyo anaweza kutumia ushawoshi wake kwa wapenzi wake wampe kura mwenzie aliyepitishwa na chama na huo ni nusu ushindi.
 
Standalone
Mimi nafahamu kwa kiwango kikubwa juu ya siasa za Morogoro mjini. Abood ni mbunge kupitia ccm japo katika kipindi chake cha ubunge ametofautiana sana na viongozi wenzake jimboni wanaotoka chama kile kile cha ccm, kwa sababu wenzake wanataka kula na kufisadi wakati yeye anawatetea wananchi. Afande Sele akisamama na Abood, nafasi ya ushindi kwake ni finyu dhidi ya Abood, kwa vile Abood amefanya mambo mengi kuwasaidia wananchi wa kawaida. labda ccm ifanye kosa kwa kutokumpitisha Abood kutetea nafasi yake kama habari zisizo rasmi zinavyoteta kuwa kuna harakati kubwa zinazofanywa na viongozi wenzake kutoka ndani ya ccm wilaya na mkoa kuwa jina la Abood lisirudi hata kama ataomba tena.

Faizerfox sijui hapa utasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Ajoe hizo nywele kwanza.
Unamtaka Afande Sele azitoe hizo nywele?

Unajuaje hizo nywele pengine ndizo zinazomfanya 'atoke' katiks mambo 9ya muziki?

Unamkumbuka Samson wa Delila wa kwenye biblia jinsi nywele zake zilivyokuwa zinamfanya ' Tyson' wa wakati ule?

Kwa watu wengine vipawa vyao huwa vimo kwenye nywele zao.
 
Mungu amlinde na kumsimamie ushindi upo karibu ccm ina hali mbaya kila mahali watu wameshachoka na huu utawala wa ccm kila siku tunasikia ufisadi wa kutisha pesa za umma zinaliwa bila huruma Raisi anawatetea wezi wa pesa za umma walizoiba za escrow ndo mwisho wao umefika.
 
Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!

Cc wana wa MOROGORO tunamhitaji
 
Dreson4
waliofanya vizuri wakoapi weweee?
acha kukariri....basi tu tunaisho but kihistoria viongozi waliopita wote unaweza kuta hakuna mtu aliyewahi kuwa na sifa xa uongozi n bado tunaishi tu mbona afu leo uje useme cjui af.sele hafai
 
Last edited by a moderator:
big up afande me nafatilia nyimbo zako tangu kitambo we ni mwanaharakati nikisikia nyimbo yako huwa nafikiri sana huwa unawaza nini aise wewe na fid q bg up
 
Back
Top Bottom