Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

Muhongo akiwa PM na Zitto yuko ACT huku akitoa support kwa CCM itawezekana kweli???Nina imani mawaziri wengi saana wataondoka.Waliopo wamekuwa na mawazo yale yale.Wapo wasomi wengi saana na ni vizuri kuanza nao kama ule msemo mkunje samaki angali mbichi....
 
Makamanda kwa unafiki tu,hamjambo!!

Walewale waliomtetea ndo wanaomdis leo.
 
Makamanda kwa unafiki tu,hamjambo!!

Walewale waliomtetea ndo wanaomdis leo.

Haaa haaa haaa, tulikuwa tunajaribu kumsafisha kwa sababu alikuwa ndani ya makamanda wapambanaji, lakini ni kheri ameonesha uendawazimu wake mapema kabla meli haijaanza kuondoka. Aende zake, kwanza yupo kama mchafu mchafu hivi
 
watu haoni mbele. Kama ZZK angekuwa mwanasiasa kweli angekuwa na subira kufanya uamzi mapema. kumbe kuna watu wako kwenye vyama kwa sababu ya watu fulani. mtu huwezi kucmama kwa sabab ya mtu fulani, nilijua afande ana akili kumbe bendera tu.
 
Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!

basi gombea wewe
 
Atapita wapi kwa Kamanda/Mwanasheria/Msomi Amani Mwaipaja aliyempeleka puta Abood 2010??
 
Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, Na mtia nia wa ubunge Jimbo la Morogoro mjini(CHADEMA) amejiandaa vizuri kunyakua kiti Ubunge Morogoro mjini ambapo amekuwa akifanya harakari za hali ya juu kuhakikisha anamuondoa mbunge aliyeko wa CCM...

Akizungumza hivyi karibuni Afande sele amesema imefika wakati sasa jimbo hilo kumpata kiongozi atakaye wasemea wana moragoro matatizo yao na sio mfadhili..nanukuu Tunataka mbunge msemaji na mteteaji haki sio mfadhili(Mfanyabiashara)

Pia amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya.

Picha chini Afande Sele akiwa katika harakati za ukombozi..
7b98f-sam_0283.jpg
Afande-Sele.jpg
Leo afande sele anaitwa mvuta bangi. Hivi mlikuwa hamfahamu kwamba ni mvuta bangi? matumbo una bahati, sijui kwa nini hukuitwa msaliti. Manake wana CHADEMA ukienda tofauti tu na wenzio unaitwa msaliti kama jinsi Salary Slip alivyoitwa msaliti baada ya kutoa ushauri kwa CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Not anymore, afande sele ataisikia ubunge kwenye TV na Redioni tu baada ya kujiunga Association of Criminals in Tanzania ....

Mkongwe wa muziki wa hip hop Afande Sele, Na mtia nia wa ubunge Jimbo la Morogoro mjini(CHADEMA) amejiandaa vizuri kunyakua kiti Ubunge Morogoro mjini ambapo amekuwa akifanya harakari za hali ya juu kuhakikisha anamuondoa mbunge aliyeko wa CCM...

Akizungumza hivyi karibuni Afande sele amesema imefika wakati sasa jimbo hilo kumpata kiongozi atakaye wasemea wana moragoro matatizo yao na sio mfadhili..nanukuu Tunataka mbunge msemaji na mteteaji haki sio mfadhili(Mfanyabiashara)

Pia amekiri kuwa tayari kwa upande wake siasa imekwishaanza kumpunguzia kasi katika kufanya muziki, huku akiwaomba radhi mashabiki wake kumvumilia kidogo kabla ya kumsikia tena akitoka na rekodi mpya.

Picha chini Afande Sele akiwa katika harakati za ukombozi..
7b98f-sam_0283.jpg
Afande-Sele.jpg
 
Nirafiki yangu lkn mvuta bangi, na nilishamuonya kugombea ubunge, hatapata, watu wa morogoro nijamii ngumu sana, imejaa majungu na unafiki, abaki aimbe tu lkn ubunge , mtakuja kuona
 
Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA na UKAWA kumfanya Afande Sele awe mgombea,As much as i want to be represented by the opposition MP but I can't see myself voting for Afande Sele as my MP...puleez!Agombee Udiwani unamtosha!

CDM ? Au ACT?
 
It is better to give us the reason why the guy is not god! argue.
 
Leo afande sele anaitwa mvuta bangi. Hivi mlikuwa hamfahamu kwamba ni mvuta bangi? matumbo una bahati, sijui kwa nini hukuitwa msaliti. Manake wana CHADEMA ukienda tofauti tu na wenzio unaitwa msaliti kama jinsi Salary Slip alivyoitwa msaliti baada ya kutoa ushauri kwa CHADEMA.

Mkuu haya mengine umeyachapia kuikosoa Chadema huwezi kuitwa msaliti .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom