NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
nadhani humfahamu afande sele wewe! Huyo msomi unaye mtaka wewe ni jamii ya nani?na usomi upi unao ongelea, tizama wasomi hawa na wayo ya fanya, dr.tibaijuka,dr,mhongo,AG.Werema,chenge,ngereja,m.mkulo nk. wapo wengi sana nadhani unajua walicho fanya, una mjidge seleman kwa mwonekanano wake sisi tulie onana naye ana kwa ana tukafanya nae kazi ndio tufahamu ana hoja gani, lakini lingine sijakuelewa hao wasomi ni wepi maana hata bungeni tuna wabunge hawana shule kama deo sanga,lameck airo,maji marefu nk. Wapo wengi wa sampuli hiyo, nafikiri hoja yako ipo kimihemko zaid.
we umefanya kazi gani na huyu jamaa acha kutudanganya, nipe sababu ya kumkubali huyu jamaaa sio kunambia hao watu uliotaja hapo juu kushindwa kazi ati ndo sababu, sijamjudge huyo jamaa kwa muonekano peke yake, bali hata pumba anazotoa akiamini kua ni point, we unataka wampe kura kisa nyimbo alizotoa? hahaha we na yeye kweli kampani moja, sishangai ka umefanya kazi na huyu mvuta bangi naona mnaendana.
Tanzania kwa style hii naona bado tuna a very long way to go, sioni ajabu watu wanaokimbia hii nchi, kuwaokoa wajinga ambao hawaelewi na hawataki kuelewa ni kazi sana, ndo maana ccm wanakuja na waimba mziki na kura zote mnawapa kisa tu mmemuona diamond jukwaani. Ndo kitu hicho hicho mnafanya na huyu jamaa.