Afande atoa waraka kwa Ant Virus

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Mwanamuziki wa kizazi kipya Afande Sele, amelalamika juu wanamuziki wanaojiita wanaharakati wa hapa nchini, ambao wanajiitaa Vinega kwa kumtema katika show ya uzinduzi wa albamu ya Ant Virus ambao itafanyika siku ya tarahe 26 kwenye viwanja vya Kijitonyama Posta.

Afande anasema anajua wenzake wamemtenga kutokana na yeye kutajwa kuwa miongoni mwa wasanii watakao tumbuiza katika tamasha la Streit Music Enter College Special, ambayo imeandaliwa na Clouse Fm.
Anasema yeye kukubali kujiunga na tamasha hilo kutokana na hali ya maisha yake, kwakuwa amegewa fedha nyingi na yeye anamatatizo na ndiyo maana amekubali kufanya show hiyo, ili kumaliza matatizo ya kifamilia. anasema wa wanaharakati wenzake kufanya uzinduzi huo wa Ant Virus, kumtoza kunamamuuma sana kwa kuwa umuhimu wake ni mkubwa na amepanga nao mengi.
Ameendelea kusema watanzania wengi ndiyo mashahidi wa kauli yake na vitendo vyake juu ya harakati za muziki, pia anasema anasikitika sana kwamba Wanyonge kumtenga na kumsingizia Mwenzao mambo ambayo si ya kweli, ingawa wao ni mashahidi juu ya miongoni mwa watu waliobaniwa katika muziki.
Aidha amedai kwamba kitendo walichomfanyia kwenye mtandao wa Face Book kwamba si kizuri kwa kumtangazia kwamba amesanda, kushiriki katika show hiyo wakati hawakumpa mwaliko, jambo ambalo anahisi kama ni kumdhulumu na kumyanyasa kwa hao ndugu zake, ambao anahisi kama vile wameanza kulewa kutoka na mafanikio madogo yanayotoka kwa Umma, ambao yeye amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
Anasema yeye haumizwi sana kutengwa kwenye uzinduzi huo kwakuwa ni maamuzi yao. anasema Soggy Dog alimpa taarifa juu ya mchongo hiyo Show, na kumwambia kwamba atampa taarifa zote jambo ambalo alilipokea kwa furaha, huku akiwaaambia yupo tayari kwa kazi hiyo lakini hatmaye hakupewa tena taarifa yoyote, na matokeo yake anakutaka na matangazo ambayo yanamajina na jina lake halipo, na alipouliza hakupewa jibu zaidi ya kuzungushwa.
Afande anasema anatoa angalizo kwamba kwamba mambo haya yasichukuliwe kisiasa, pia kwa wadau na wanaharakati wa muziki kwamba ndiyo kwanza harakati ndiyo zimeanzishwa na kwamba wasibaguane, na wala kusingiziana kwakuwa wanadhalilishana, kwakuwa hawatakuwa wanafanya vyena kwa wanaadam na hata kwa Mungu.

Bookmark
Hits: 250
Comments (3)Add Comment
0
...
written by maendeleo, November 27, 2011 - 14:26:25
Ndimila kuwili huyu!
Nilikuwa nameheshimu sana kama mwanaharakati, lakini kitendo chake cha kupigia magoti wanyonyaji kimemshushia hadi ! Hata uhuru wa Tanganyika ama Zanzibar ulipatikana kwa kuwa na msimamo na sio kuendekeza tamaa za fedha.
Ameonyesha kuwa ni mbinafsi, sababu wenzake awapati fedha na wamehamua kupigania haki yao, lakini Afande tamaa imemtenga na wanaharakati wenzake

report abuse
+0
vote down
vote up

othman
...
written by othman, November 28, 2011 - 09:19:07
Afande wambie kweli lakini Sugu ndio mchawi wako anaingiza mambo kisiasa?

report abuse
+0
vote down
vote up

0
...
written by mgokooooo, November 28, 2011 - 18:07:24
mwanaume hatakiwi kua mtumwa kesho utajiunga na Waingerza upate misaada kaka dzain nlikua nakuelewa ila kwa kwa nimejua ww sio simba ila FISI khaaaa kumbuka ulikotoka na Sugu embu irudie kuckiliza nyimbo yako ya m2 na pesa daaaa kwl ubinadamu kazi.

report abuse
+0
vote down
vote up


Write comment
Name
Comment
bold italicize underline strike url image quote Smile Wink Laugh Grin Angry Sad Shocked Cool Tongue Kiss Cry
smaller | bigger
Subscribe via email (registered users only)
I have read and agree to the Terms of Usage.

security code
Write the displayed characters



More Stories:

Lady Jay Dee kuachia siri nzito! (23-11-2011)
Beef la Drake and Luda (22-11-2011)
Bongo Movie C.P.U kurushwa TZ Movie Theatre (21-11-2011)
Twanga pepeta yakamilisha uzinduzi wa Dunia Daraja (07-11-2011)
Chege na Temba wafunika uzinduzi Twanga (07-11-2011)
Msechu aomba radhi kuvaa mlegezo (03-11-2011)
Mashujaa waongeza wanenguaji (02-11-2011)
Sa Raha afunguka maisha yake (02-11-2011)
Chege, Temba na Mataluma kuongeza nguvu Twanga (02-11-2011)
Yanga yaramba dume (29-10-2011)


nime copy Bongo5.com
 
sawa. hata sugu mwenyewe hakumraumu ile siku ya ant-virus. kama katubu poa. shows za ant-virus bado zipo nyingi. bila shaka atashiriki. mia
 
Namshauri Afande Sele alenge maslahi. Achana na hao vinega, ni wahuni. Wanaimba matusi. Utajishushia heshma yako ktk jamii iliyostaarabika.
 
Namshauri Afande Sele alenge maslahi. Achana na hao vinega, ni wahuni. Wanaimba matusi. Utajishushia heshma yako ktk jamii iliyostaarabika.

ushauri gani huu? Huwezi kumshauri mtu kwa dizaini hii Jombaa halafu Vinega sio Chama cha siasa maana magamba wote mnachukulia hii ishu ya vinega kama ya kisiasa zaidi mnakosea sana wakuu.
 
Huyu Jamaa anapotea kweli leo, tena umeingia chakaaaaaaaaaaaa
Hata hivyo maelezo haya chini yanakutunzia heshima kidogo
Join Date : 6th November 2011

Location : Zanzibar.Tanzania
Posts : 66
Rep Power : 21
 
Afande gani analia lia ka mtoto?

Kwani shida ndo ikufanye uwe msaliti?

Hakuwa na njaa kiasi hicho,hiyo ni tamaa tu...

Sasa anataka vyote,watu wengine bana!
 
Mods ondoa habari hii ya msaliti kama huyu! Yaani huyu maandazi ameingiaje jukwaa hili tukufu?
 
Afande kila mtu na maisha yake wewe angalia pesa, hata huyu Sugu kachukuwa pesa nyingi kwenye shoo yake, wasanii wengine wanalalamika wamepewa mgao mdogo, Afande Sele ndio Mfalme wa Bongo fleva Tanzania, Sugu anataka kuleta siasa kwe sanaa
 
MODS pelekeni hii jukwaa husika, huyo Afande njaa mwisho wa siku watamcameruni


Il Gambino.
 
afendi mkaa uchi has just finished digging his own grave

RIP buddy:spy:
 
Namshauri Afande Sele alenge maslahi. Achana na hao vinega, ni wahuni. Wanaimba matusi. Utajishushia heshma yako ktk jamii iliyostaarabika.

umaarufu sio kuponda hata ushauri pia unasaidia kukupa umaarufu jamvini...
job true true..
 
Afande angalia pesa! Pesa ndio imekatikia kwenye shoo ya juzi! Sasa hivi imeishia kwenye madeni! Hana kitu tena! Mfumo unamtaka mtu mzima akalie kwa Ruge ampe 50,000 walau leo ipite!! Tehe tehe!
 
uganda wananunua mabangaloo na si profesa J(kumbuka heavy weight Mc) anatumia karibu muongo mmoja kukamilisha nyumba! Muziki huu huu!
 
Serikali mnajua mnapoteza kodi ya kiasi gani kwenye muziki? Kama mnafanyaga estimation ya kodi kwenye makampuni hamieni kwa wasanii! Sasa hivi mfateni diamond ili mkamue kwake mpaka mfumo mzima!
 
Back
Top Bottom