Afande atoa waraka kwa Ant Virus

Mwanajeshi wa kweli haogopi shida za vitani...Afande Sele si mwanajeshi wa kweli kupigania haki za wanamuziki
 
Sasa kama alishakubali dili la clouds alitegemeaje wamfuate kumwita kwenye show ya antivirus?Au alitaka abembelezwe?

Mwambieni uanaharakati hauombewi wala haubembelezewi. . . . kama sio, sio tu.
 
Namshauri Afande Sele alenge maslahi. Achana na hao vinega, ni wahuni. Wanaimba matusi. Utajishushia heshma yako ktk jamii iliyostaarabika.

Jamii iliyostaaribika inayozalisha hao unaowaita wahuni-Vinega!
 
Back
Top Bottom