Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Jul 22, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  [h=6]@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!
  [/h]Willie! @ Facebook!!!
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  na nani???
   
 3. Collins

  Collins Senior Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo zamani,kwa sasa adui mkubwa ni mafisadi wanaotufanya tuwe maskini
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapana, adui yetu namba moja ni CCM!
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Serikali lege lege ndo zinaendeleza umasikini kwa kutumia rushwa na ufisadi,very simple.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Adui namba moja ni huo usultani wenu mnaoifanyia hii nchi ambayo siyo ya kifalme
   
 7. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!

  Willie!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mojawapo ni familia yenu ambayo inamiliki mahekalu lukuki lakini hamjawahi kujaza form ya mkopo
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umaskini mbaya kabisa ni ule wa kulazimisha umaarufu kwa kupitia migongo ya baba zetu na kupiga picha na Mamiss wote wa nchi hii.
  Hii inawafanya binti na vijana wetu wanaoibukia wajifunze tabia mbaya sana na kutafuta njia za mkato za kuiga hali hiyo, wakijua kuwa ndiyo sahihi, maana inafanywa na watoto wa watu wanaoheshimika.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe kwamba tatizo number moja Tanzania ni umaskini, lakini umaskini haujanzia kwenye mali kama unavyoongelea bali kwenye 'visionary leadership, na usimamizi wa mali tulizonazo.

  Tanzania ni tajiri wa mali, lakini masikini wa uongozi bora. Tanzania ina diamond, gold, copper, nickle, uranium, tanzanite, arable land, rivers & lakes, sea, 25% ya 945,087 square km ni mbuga za wanyama, chumvi, geaogaphical location (land locked countries nyingi), milima na mabonde na sasa natural gas, oil, and top of that kuna nguvu kazi -% kubwa ya population ni vijana (production). Na ukiondoa vita ya Idd Amin Tanzania imekuwa (for the most part of post independence) nchi tulivu.

  Tusimjaribu mungu, yuko busy na geniune problems kama watoto wanaokwepa risasi Syria, Iraq, kandhaha na kwingineko.
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Kumbuka kama Serikali haikuwasaidia wananchi wake kujitoa kwenye umasikini, wananchi wale watailazimisha Serikali yao nayo kuwa masikini kama wao, so uko right!!

  - Kwa wengine huko juu ukiona sikukujibu ujue kwenye hoja yako hakuna tija kwa wananchi na taifa! ha! ha! ha! ha! Au yanahitaji thread zake hapa hii thread sio mahali pake ok guys! ha! ha! ha! ha!

  Willie!
   
 12. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Visionay Leadership, sawa mengine hapana kama huna sound visionary leadership then ni vigumu ku-control the rest of your hojas so upo karibu sana na ukweli.

  Willie!
   
 13. B

  Bob G JF Bronze Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Adui yetu mkubwa zaidi ni CCM na umaskini wetu umeletwa na CCM, UAMSHO nayo imeletwa na CCM, Kila unachokiona kiko hovyo kimeletwa na CCM, CCM NI JANGA LA KITAIFA, CCM ni Hatari zaidi ya UKIMWI, UKOMA na Magonjwa mengine Mengi Sugu. Kuendelea kuwepo kwa ccm ni KUANGAMIZA MAISHA YA WATANZANIA na Raslimali zake. Na CCM ni CHUKIZO hata Kwa MUNGU na Alaaniwe kila anaesaidia Uwepo wa CCM!
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Unaweza kutupa orodha ya nchi ulizoangalia na vigezo ulivyotumia katika research yako na kupata hiyo conclusion hapo kwenye red? shukran.
   
 15. Collins

  Collins Senior Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ndo unaongea pumba......adui mkubwa ni wanaofanya wananchi wawe maskini
  [​IMG]
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - The point ni Tanzania tunawezaje kuwa na wananchi wenye majumba mengi ya kifahari ambayo hayakujengwa kwa njia za mikopo toka benki? Sasa kama huna system ya mikopo, Serikali itapata wapi kodi za kuwaletea wananchi wake maendeleo?

  - Hayo mengine sio muhimu na wewe unaweza kuyafanya sio kusubiri nikufanyie kila kitu ndio maana tunakuwa masikini bro, kutegemea kufanyiw akila kitu!!

  Willie!!
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - CCM nayo pia inaongozwa na wananchi wengi masikini ambao bado hawajaweza ku-figure out namna ya kujitoa kwenye umaskini wao binafsi, sasa watawezaje kuwatoa wengine?

  Willie!
   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Unaweza kuwa na vision lakini ukawa na udahifu kwenye 'execution'. It is important to know the interpendence between the two. Na excution ina-include hata communication, kwa sababu kama hukuweza ku-articulate your vision na watu wakailewa vema basi unaweza kuonekana kama uko -aloof. ref, Thabo Mbeki, pamoja na minyukano ya ndani ya chama chake cha ANC, Mbeki alikuwa na tatizo la kuwashawishi 'komrade' wenzake kuwa maamuzi yake yalikuwa na manufaa mapama kwa chama na nchi kwa ujumla. In the end wakingia kwenye kuwindana.
   
 19. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAADUI WA TANZANIA:
  1. CCM
  2. Mafisadi
  3. Umaskini
   
 20. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - TAIFA HALIWEZI KUJITOA KWENYE UMASIKINI KWA KUBAGUA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE WAKE, NI MPAKA TAIFA LITAKAPOELEWA KWAMBA WANAWAKE NA WANAUME NI SAWA NA NI MUHIMU KWA TAIFA NDIO TUTAENDELEA!!

  - I MEAN MWANAMKE KWENYE MASIKINI AKIPIGANA KWA KUCHEZA SINEMA ILI AJITOE KWENYE UMASIKINI, MASKINI WENGINE HAWAWEZI KUKUBALI, SO WATATAFUTA KILA NJIA KUMRUDISHA WALIPO WAO YAANI KWENYE UMASIKINI, SO WATAMTAFUTIA KILA MAJUNGU PAMOJA NA KUMUITA MALAYA NDIO TABIA ZA MATATIZO YA UMASIKINI!!

  wILLIE!!
   
Loading...