Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!!

Naona ww unachuki binafsi, baba yako pia ilitakiwa asome na akujengee mazingila mazuri kama unayoyatamani ya wengine kwa muda huu, familia ya mzee ina kukera nini? na mbona tena unataka kuchagua wengine pia wakale kuku? ilitakiwa ujitose na ww ili ukale bata kuliko kuweka watu wengine, vumilia uzee utaungia si muda mrefu na utasahau!
 
Adui yangu mkubwa ni ufisadi,undulisation,maandamano,fujo,zomeazomea za kiviroba kwa chama chochote kile...........................
 
1. Adui Namba moja wa Watanzania ni CCM
2. Adui Namba mbili wa Watanania ni Chadema
3. Adui namba tatu wa Watanzania ni Vyama vyote siasa nje ya CC na Chadema
4. Adui namba nne wa Watanzania ni Mafisadi wote (Lowasa, Chenge, Rostam, na Wengineo)
5.
 
Watanzania wangeelewa hii ingekuwa rahisi sana, ila bado kuna watu wazito
 
Adui wetu niwanaoahujumu uchumi wetu si ccm pekee leo hii hata ukawa wakipata system lazima wawe maadui wetu.ccm tamu kama ugali wa mchna wachache ndoo wanafanya ccm chafu hawa makapi mnaopokea,oil chafu hawa mnaopokea ndoo wahujumu wakubwa wa uchumi wetu',.
 
Hizo ni ndoto za kyenda wazimu, tatizo letu ni uelewa mdo na kukaririshwa maneno, wenye akili timamu wanataka hoja na si mambo ya mtaani, mtu kanywa gongo zake huko anakurupuka na kusema ccm ni adui, maana yake imetangazwa vita au ndo mpango wenyewe huo, kama watu hawajapata dola wanachachawa hivi je wakiipata si itakuwa balaa tupu, hii nchi iko huru na vyama vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu. chama kinaondoka kwa utaratibu na si kwa jinsi hiyo ya kilevilevi. Je huko unakofikiri kwamba kuna asali na maziwa, umewafanyia utafiti na kujilidhisha kuwa wanaweza? au unapigwa saundi ya mdomo2 na unawaamini, utauziwa mbuzi kwenye gunia na utakuwa wa kwanza kutujuza ndani ya JF.

Toroka uje
 
1. Adui Namba moja wa Watanzania ni CCM
2. Adui Namba mbili wa Watanania ni Chadema
3. Adui namba tatu wa Watanzania ni Vyama vyote siasa nje ya CC na Chadema
4. Adui namba nne wa Watanzania ni Mafisadi wote (Lowasa, Chenge, Rostam, na Wengineo)
5.

Mkuu lile fungu lako la ESCROW umeshalimaliza?? hebu tufafanulie na ile 70% iliyopitia Stanbic ni kina nani waliiramba??
 
Nimefatilia kwa karibu sana tangu sakata la kampeni za uchaguzi kuanza na jinsi watu walivyokuwa wakionesha hisia zao wazi wazi juu ya uchaguzi wa mwaka huu. Aidha nimejaribu kujiuliza maswali mengi sana hususani katika kipindi hiki ambacho kitatuamulia aina ya serikali ambayo watanzania tunaitaka.

Wakati Edward Lowassa alivyokuwa CCM akihangaika kujaribu turufu yake ya kugombea Urais alionekana kuwa ni tishio kwa kiasi kikubwa sana ndani ya chama hicho. Alivyokatwa jina lake na kutupwa nje katika kinyang'anyiro cha mgombea wa Urais akafanya maamuzi magumu ya kukihama chama hicho na kuingia UKAWA kwa tiketi ya Chadema ambapo alipokelewa na kupewa jezi namba moja apeperushe bendera ya UKAWA kupitia CDM kwenye kiti cha Urais. Hofu ya CCM dhidi ya Lowassa ikaongezeka maradufu. Ni dhahiri na wazi kuwa CCM hawataki Lowassa afanikiwe katika adhma yake ya kuukwaa Urais.
Propaganda nyingi sana zimewekwa wazi wazi ili kumkatisha tamaa Lowassa ikiwemo matumizi ya skendo ya Richmond ambayo ilipelekea Lowassa kujiuzulu nyadhifa yake ya Uwaziri Mkuu ili kuinasua serikali katika sakata hilo.

Hata baada ya Lowassa kujiuzulu wadhifa wake wa Uwaziri Mkuu, serikali inayoongozwa na CCM imekumbwa na kashfa mbalimbali ikiwemo ile ya ESCROW ambapo mabilioni ya fedha yalipotea. Hivi karibuni wana propaganda na wahafidhina wengi wamekuwa wakitumia turufu ya Richmond kumziba mdomo Lowassa. Dr Slaa jana aliitisha kikao na waandishi wa habari na kuwaeleza kile ambacho kilimfanya kuwa kimya kwa takribani mwezi mzima baada ya Lowassa kuingia UKAWA. Ameongea mambo mengi sana hususani skendo nzima ya Richmond akimuelezea Lowassa na uhusika wake kwenye Richmond.

Maswali ya msingi ambayo nimekuwa nikijiuliza hapa ni,
Je Richmond ni matokeo ya Lowassa au serikali nzima ya CCM? Kwani wakati Richmond inatokea Lowassa alikuwa Chadema? Na kama hakuwa Chadema huko alikokuwa serikali yake na chama chake ni kisafi sana kiasi kwamba Lowassa pekee ndiye alikuwa mchafu?
Je vita hii ya sasa inayoendelea dhidi ya Lowassa hata baada ya kuhamia UKAWA, chama cha mapinduzi ambacho kiko madarakani bado ni kisafi?
Kukaa kwake nje ya uongozi Lowassa kwa kipindi cha miaka 7 kumezuia serikali ya CCM kufanya maovu mengi? Na kama jibu ni NDIO je ESCROW imetokea wakati Lowassa akiwa Waziri Mkuu?
Na je CCM bado ni safi sana hata baada ya Lowassa kuhamia UKAWA?

Naendelea kutafakari na kutafuta majibu huku nikila mihogo na maharage kwa ajili ya kulikomboa taifa hili la Tanzania.
 
RICHMOND sio swala la mfumo - ni swala binafsi la Lowassa. Maana taratibu za manunuzi ziko wazi - yeye alizivunja ka maslahi yake binafisi. Hivyo hilo sio swala la mfumo - ni swala la maslahi binafsi. Mfumo uko vizuri - wala hakuna Mfumo wala taratibu za manunuzi zinazomruhusu Waziri Mkuu kuingilia utaratibu wa Manunuzi ya Shilika lOLOTE LA sERIKALI.
 
Adui ni mafisadi ....

ccm imewafukuza wakakimbilia CDM na wengine walipoona ni jembe magufuli anaingia wakajisalikisha upinzani...

Hao ndio maadui zetu
 
Back
Top Bottom