Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Chadema itaendelea kuogopwa na wazalendo wa Taifa hili.. Chadema ipingwe na kila mwenye kujitambua.. Chadema inamfukuza Dr Slaa, ikataka imkabidhi Taifa Lowasa.. Lilikua kosa la karne
 
Ni kweli aisee maana cdm waliouza nyumba zetu wakagawana kwa visandarusi escrow Wakala kagoda. Yaani hawafai kabisa

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Sumu iliyo katika huo ulevi ulokunywa karibu itakutoa roho, miaka 50 madarakani hamna kitu Leo hii uzingizie eti chadema duh!! DAB no 2

Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
 
kuna mambo kwakweli hadi ,mioyo na nafsi zenu zinawasuta mnapo kuwa mnapost ni basi tu kwakweli hamna namna
Mkuu mimi nimekuwa nikifuatilia hizi thread huwa zinaletwa na binadamu.au robot??Kwanini wanatufanya sisi watoto wadogo
 
Mafanikio ndio yanatakiwa kupiga kelele. ..Sio wewe. ...ukweli upo wazi wenye akili timamu wanaelewa
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
So chadema ndio waliosaini mikataba mibovu ya madini???

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.

New edition from lumumba gang. However, quality not quite impressive.
 
CCM imebaki kwa wazee tu na mwisho wao umekaribia kuisha.
Kabla ya hapo nilikuwa ccm pure ila nikaona hiki ni chama cha wapiga dili tu na uonevu mwingi

basi mkuu umepishana na gari la mshahara.. yaani wewe ulikuwepo ccm wakati ikitufanyia mambo ya hovyo, alaf unaondoka wakati wanaanza kujisahihisha??
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.

Mkuu umesahau wanavyo shabekia suala la uharifi kanda ya Pwani!!!
 
Tatizo lako ni kutokujua unaandika kitu gani, unawaandikia kina nani na mahali gani.
 
basi mkuu umepishana na gari la mshahara.. yaani wewe ulikuwepo ccm wakati ikitufanyia mambo ya hovyo, alaf unaondoka wakati wanaanza kujisahihisha??
Mambo gani ya maana kijana? Ccm ya sasa ni ovyo sana. Sina time nao. Siwapendi kwa matendo yao km ya zimwimtu
 
Ndo maana hii nchi haisongi mbele.sababu ya watu kama ninyi

Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wamekuwa washabiki wa majambazi ya Kibiti yanayoua raia wema, wakisikia yameua ndiyo furaha yao.
Ben saa nane alivopotezwa kisa kauliza phd ya magufuli ccm mlilia au mlipiga makofi na kushangilia?je wakati Alphonce mawazo alipo uwawa na maCcm ulishawahi kusikia magufuli alifatilia kuhusu mauaji ya kikati ya namnaile?leo unataka tu uzunike kisa kauawa mwenyekiti wa Ccm!zinakutosha kichwani kweli?ka muulize mkuu wako kama aliwahi kuuliza hata sikumoja kuhusu kupotea kwa Ben kama hapana kumbe mkuki kwa ngurue inauma kwa mwanadamu ni sumu.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Ni kweli mkuu Hii nchi imefikia hapa kutokana na unafiki, Wizi, ufisadi na uingiaji wa mikataba mibovu uliofanywa na chadema. Yaani Mimi nikisikia Hili jina la chadema huwa natapika . Miaka yote waliokuwa madarakani Chadema zaidi ya ufisadi sijaona chochote cha maaana walichofanya. Tumshukuru Mungu kutuletea magufuli kupitia ccm .
 
vipi kile chama kinachopiga wananchi risasi na kusaini mikataba Iliyomaliza rasilimali za nchi ?
mimi nadhani tuwapongeze CHADEMA waliothubutu kupiga kelele wakati akina makufuli wakipitisha sheria mbovu za kuliuza taifa, na alibaki kimya leo ndio anaongea...
CCM walipinga mipango yote mizuri ya maendeleo kutoka kwa wapinzani na kuapa hawatomruhusu mtu yeyote asiekuwa ccm kuingia ikulu na kuiletea nchi maendeleo..
CCM tangu wazaliwe wanakula serikalini hawataki wengine wale..
roho za visasi, oneni aibu kutumia dola kutimiza visasi binafsi..

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
Hivi wakati wana sain mikataba mibovu huyu magufuli alikua chadema caf au chauma?leo akurupuke from ccm anadanganya watu eti anatumbua majipu kana kwamba ni mgeni hapa Tanzania eti hakujua kua vitendo hivi vilikua vinafanywa na ccm akiwa ni waziri,mbunge?wakati wanaitika ndio bungeni nani alimziba mdomo kusema ukweli huu anaokujanao leo?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ben saa nane alivopotezwa kisa kauliza phd ya magufuli ccm mlilia au mlipiga makofi na kushangilia?je wakati Alphonce mawazo alipo uwawa na maCcm ulishawahi kusikia magufuli alifatilia kuhusu mauaji ya kikati ya namnaile?leo unataka tu uzunike kisa kauawa mwenyekiti wa Ccm!zinakutosha kichwani kweli?ka muulize mkuu wako kama aliwahi kuuliza hata sikumoja kuhusu kupotea kwa Ben kama hapana kumbe mkuki kwa ngurue inauma kwa mwanadamu ni sumu.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Ben saa8 muulize Mbowe, Mawazo, Chacha Wangwe, muulize Mbowe.
 
Mauaji ya kibiti muulize Bashite na Magufuli,unataka tulie kisa wanauawa wenye viti wa ccm we vipi!

Back
Top Bottom