Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Kumbe cdm ndio waliopitisha miswaada ya kifisadi ya madini bungeni huku wakipiga makofi na vigeregere?

In god we trust
Aliyepitisha na anaunga mkono na kuwasaidia wezi wote ni MAJIZI tu.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Sio ccm ? Chadema walisaini mkataba wa mgodi UPI ?walileta ESCROW? WALILETA EPA ? MAKANIKIA ?

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
kwanini muwatete wezi wakishughulikiwa
 
1. Bila kusoma mkataba ataupitisha kwa kura ya ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
2. Escrow
3. EPA
4. Ndege ya raisi
5. Nyumba za serikali
6. Kivuko kibovu
7. IPTL
8. Watumishi hewa
9. Mikataba isiyokuwa na tija kwa nchi
10. Barabara Mbovu
11. Ukosefu wa dawa za tiba
12. Ukosefu wa Nyumba za watumishi
13. Kufunga wakosoaji
14. Manunuzi yasiyofuata sheria
 
Umekosea sana Adui wetu wa maendeleo ni
1.CCM
2.UJINGA
3.MARADHI
4.UMASIKINI

tumeshuhudia ccm ikifuta ajira, ikila rambi rambi, ikiminya demokrasia leo ukiwa chadema ww ni muasi, imesaini mikataba mibovu, yapo mengi
Unakumbuka Makufuli aliuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu?
Take your cheque 7000
Kwan ccm sio Lowasa,Sumayi ,kingunge na wengine wakati mikataba inasaini sumaye alikuwa nani serikali na katika Ccm?.ni walewale wamebadili chumba cha kulala tu

Sent from my XT1060 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh Rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Naona ndio umeandika kinyume kwamba adui mkubwa ni yule aliesaini mikataba mibovu ambae ni ccm,na wabunge wake kupitisha mikataba mibovu huku wakiwadhihaki wapinzani,sasa Lumumba hawakupi hata mia kwa kuwaongelea kinyume.
 
Kama mwenyekiti wenu anawexa kuwa mzalendo leo sembuse Lowassa ambaye ni mtu wa heshima na mcha Mungi namna hiyo?Acheni figisu figisu zenu za uwongo!!!
 
Kwani Mirembe hawajamaliza upanuzi wa hospitali, Mbona mtoa uzi hajarudi kwa matibabu zaid?
 
Na mchawi,muuaji wa watanzania ni ccm.

Ona wanavyopata shida watanzania huko mtaani, hadi huruma.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh Rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Hivi hayo makinikia ndiyo dhahabu yenyewe? Na je wakituachia tutayafanyia nini maana vifaa na uwezo wa kupembua hatuna? Tutajengea nyumba??!!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh Rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Ukirudi utatia akili,ban jema!
 
hebu niandikie jina la jiji analo liongoza makonda kwanza . maana inaonesha hata jinsi ya kuliandika huwezi.
 
Back
Top Bottom