Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.

Mimi nakufahamu vizuri sana , je mtu katumia password yako kuandika hapa ? Maana kwa ajili ya kagonjwa kaleee ulifungiwa .Sasa umefikaje hapa ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwenye hii post anatafutwa na jamaa mmoja hivi kule Kibiti ,kumbe umejificha huku! Nitakuripoti!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
So?!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli nyani haoni kundule miaka zaidi ya 50 watanzania masikini Wa kutupwa ni chadema wamesababisha?ccm mmewatesa sana watanzania

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Chadema kina miaka 25 sasa, charity begin at home, kimefanya maendeleo gani? Mpaka sasa bado kimepanga, Sabodo alitoa hela ya kuchimba visima majimbo yote yote ya chadema zimeliwa, fuso za M4C eti kila moja 600m? ? [emoji15] [emoji15]
Bodaboda za M4C lizilosambazwa mkoani kila moja waliinunua 1.2 lakini kuweka logo za M4C ikatangazwa tender eti Mtei akashinda kuweka logo kwa kila bodaboda moja eti 1m? ?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
chadema wamechukua majiji ya Dar na Moshi eti parking wamewapa wakenya kwani hakuna watanzania wenye sifa? ?
Halafu wanataka nchi? ?
Kuleni ruzuku bhana usituchoshe.
 
jibu post kwa hoja cdm ya sasa sio ile ya slaa ambayo ilikuwa inajenga hoja zenye manufaa
mkapa na kikwete ni marehemu? kwani wamekufilia wapi

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.

intelig-old.png
 
Ccm ndio adui namba 1 kwa maendeleo ya tanzania ufisadi umefanywa na CCM,mikataba mibovu CCM,kula rambi rambi CCM ewe hayawani mpya wa Lumumba acha kujipendekeza fanya kazi upate kula siku hizi buku 7 hazilipwi
 
Chadema wamekuwa washabiki wa majambazi ya Kibiti yanayoua raia wema, wakisikia yameua ndiyo furaha yao.
Wangemdedisha aliyefuta ajira K Tanzania ingepata amani sana maana huyu ndiyo mwiba kwa vijana wetu wapenda maendeleo.
 
Boss programmer95 Bila Upinzani Madhubuti na wa Ukweli, hakuna Maendeleo. Na kumbuka Chadema ni Chama Cha Upinzani.

Adui namba moja wa Tanzania ni Wewe, Mimi, Mwananchi, Mtanzania. Tanzania itajengwa na Mtanzania. Usitegemee Tanzania kujengwa na Mzungu au Mtu wa nje.

Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
 
Mimi nafikiri kipindi mnapewa kadi za CCM huwa mnaanza kurogwa kwa akili za kawaida huwezi kuandika utumbo huu kwani zamani ndio nini??Mnajivunia zaman huku mtia taifa hasara nyiny kweli mafisi
NA MKIPEWA KADI ZA CHADEMA HUWA MNAONGEZEWA AKILI NDIYO MAANA MPO IKULU KWA AKILI ZENU NYNGI
 
Kama cdm wanafurahia ni nani kwenye madawa waliotajwa ameshitakiwa?au kwenye makenikia?

Sent from my LG-D722 using JamiiForums mobile app
 
t
Boss programmer95 Bila Upinzani Madhubuti na wa Ukweli, hakuna Maendeleo. Na kumbuka Chadema ni Chama Cha Upinzani.

Adui namba moja wa Tanzania ni Wewe, Mimi, Mwananchi, Mtanzania. Tanzania itajengwa na Mtanzania. Usitegemee Tanzania kujengwa na Mzungu au Mtu wa nje.
unaitaji wapinzani wa kweli sio wanafki kama chadema ambao hawana akiba ya maneno yao
 
Umesahau na dab

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom