Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Ujinga ulionao ni zaidi ya matatizo yanayokukabili na kwa mtindo huo wa uelewa mbovu, utoshaji wa makusudi kwa umma ukidhani kujipendekeza ndio inalipa.

Taifa haliwezi endelea kwa mitazamo ya kishenzi kama hii ya kupandikiza chuki na kupitosha ukweli.

UNATUMIKA VIBAYA KAMA SIO BASI UELEWE WAKO SUFURI AMA UMEJIONDOA AKILI KWA KUSAKA MSOSI BILA KUJUA TUMBO HALINA SHUKRANI.
nyie ndo mnatumika vibaya kutwa kuwatetea wezi kama wakina manji na accacia kuwa chadema inabidi ujitoe akili maana hamjielewi mara lowassa fisadi mara lowassa msafi
 
lowassa na sumaye kwan wapo ccm acha kujitoa akili unasahau hadi ufisadi wa mbowe kwa nhc au pesa ya sabodo mbona unakuwa mwepesi wa kusahau kilichotokea kwenye msiba wa ndesamburo
Ingekuwa kuna ukweli Mbowe sasa hizi angekuwa lupango na vile ilivyokuwa hobby ya mkuu kuwaweka upinzani lupango? Hizi ni ngonjera za Lumumba. Hapo alipo Mkuu anatamani wote wawe lupango mpaka anashindwa kujizuia

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
kungekuwa kuna uongo mbowe angeshinda kesi ya bill canas na chadema wasingepita nchi nzima kutwambia lowassa fisadi
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Umeshindwa kuona serikali yako ndo tatizo unaenda upinzani ulimpa nyosha nchi tulia dawa ikuingie
 
kungekuwa kuna uongo mbowe angeshinda kesi ya bill canas na chadema wasingepita nchi nzima kutwambia lowassa fisadi
Kumbe hujui Tanzania upinzani chama tawala bado haijakikubali? Bill greenhouse ni mambo ya kisiasa. Kunawakati Bakhressa alikuwa ana sipport CUF alichomewa ngano yake ya billion 1akaambiwa haifai kwa binadamu anasema alete wakemia kutoka Kenya akakatalìwa. Ila baadae aliitwa akaulizwa wewe ni
mwanasiasa au businessman? Anasema oo mimi nasaidia akaambiwa achana na siasa na akalipwa pesa yake..
I'll take kujua ni soasa hata nyumba ya mama lwakatare haikuvinjwa

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Unajua maana halisi ya maneno uliyotumia mwalimu nyerere aliwahi sema maadui wa maendeleo ni wanne wewe unasema .....

Sent from my SM-T531 using JamiiForums mobile app
 
jibu post kwa hoja kwani uongo hamuwatetei mafisadi
hoja gani??? kwani walivyotuibia niaka yote serikali ipo chini ya nani??? je kuna mnufaika wowote wa ufisadi ule yupo chadema mbona kina kafumu na chenge waliotajwa wapo ccm???? ssa chadema lini hiyo wametetea
 
Mi nilijua ataandika kwa uwazi kumbe alilenga kuitangaza chato na rsis wa zamani na ulofa wake

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
hoja gani??? kwani walivyotuibia niaka yote serikali ipo chini ya nani??? je kuna mnufaika wowote wa ufisadi ule yupo chadema mbona kina kafumu na chenge waliotajwa wapo ccm???? ssa chadema lini hiyo wametetea
mbona umemsahau lowassa na sumaye
 
Adui mkubwa wa watanzania ni marais waliopita Mkapa, Kikwete, na katiba inayofichwa ili isirekebishwe.
 
jibu post kwa hoja kwani uongo hamuwatetei mafisadi
Nilitamani kukujibu lkn sidhani kama utaelewa.Kama umeshindwa kuelewa tatizo kwenye genge lililotawala kwa miaka hamsini na ushee likishindwa kujua au kufanya ya maana ili kutokomeza maadui iliyo yataja wenyewe na wewe bado tu unashabikia (utadhani wasabato màsalia na ujio wa Yesu),ndio utajua matatizo ya Chadema?Jiangalie mwisho wa uwezo wako wa kufikiri ndio mwanzo wa matatizo yako
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
ni kweli programmer95 adui mkubwa ni chadema tangu tumepata uhuru wetu 1961 chadema anatuangusha tu na hatuji juu,
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.

so unataka UPINZANI waunge mkono USANII ?
 
jpm kawafanya mmehishiwa hoja
Hahahhahahahaha kwani umaskini umeisha???

maji hawana 60% ya watz,

wajawazito wanakufa 10 kila siku huko kijijini (MEWATA) kwa kukosa kituo cha afya

60% ya wanafunzi walikosa mkopo elimu ya juu

40% ya watz hawana umeme

70% ya watanzania wanaishi chini ya dolar 2 kwa siku tatu

bajeti haitekelezeki

Hahhahahha kma hoja za kumpinga nyingi tu mbona hadi mnengetufunga!!!
 
CHADEMA kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh Rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Wao Chadema ndiyo huwa wanapeleka miswada yaadini bungeni kwa hati za dharura halafu badae wanalia kuwa wanaibiwa?
 
Back
Top Bottom