Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Nani fisadi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Tusiongelee yaliyopita kwa akili yako ya kushikiwa ,hivi unakuja na jibu la kitoto kiasi cha kumfanya mtu jiulize kuhusu uelewa wako. Usilazimishe kuhoji makosa yawe ya leo au ya jana yote ni makosa kwa hiyo mfanya makosa asiulizwa kosa lake. Hili halihitaji elimu kubwa kubwa kulijibu ila kwa kuwa ndo mwisho wa kufikiri kwako huna kosa

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
jibu post kwa hoja cdm ya sasa sio ile ya slaa ambayo ilikuwa inajenga hoja zenye manufaa
CDM haijawahi kuwa ya Slaa.
Hoja yako hailezi ni kwa jinsi gani kutetea mafisadi kunaweza kuzuia maendeleo. Raisi ni wa CCM, wabunge wengi ni CCM, vyombo vyote vya dola mnavyo. Hapo CDM inawezaje kuzuia maendeleo?
 
Yule alietoa madini na nyumba za serikali tumuite nani. Tikiti maji

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli nyani haoni kundule miaka zaidi ya 50 watanzania masikini Wa kutupwa ni chadema wamesababisha?ccm mmewatesa sana watanzania

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mungu anawaona,halafu hawatosheki kabisa.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Si hayo tu,chagadema wanataka wakulima wauze chakula nje ya nchi na kukisafirisha bila vibali. Tulishasema sio watu hawa !
 
Mwaka wa pili hawajaajiri kweli Mimi msomi nitaipenda VIP serikali ya ccm ? Kwa mfano

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
upload_2017-7-10_11-27-19.jpeg
 
Umekosea sana Adui wetu wa maendeleo ni
1.CCM
2.UJINGA
3.MARADHI
4.UMASIKINI

tumeshuhudia ccm ikifuta ajira, ikila rambi rambi, ikiminya demokrasia leo ukiwa chadema ww ni muasi, imesaini mikataba mibovu, yapo mengi
Unakumbuka Makufuli aliuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu?
Take your cheque 7000
Ccm ndie adui mwenyewe maana ujinga ndio unazaa maradhi na ccm haitaki wananchi wapate elimu bora ili wasihojiwe kwa wizi wao na ndio maana hawako tayari kubadili mitaala ya elimu na katiba.
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Hawa ndiyo walisema ndiyooooo ??? na later kuwaita hao hao wezi vidume ??

mtasubiri sana Noah zenu za mbao ....!!
 
ACHA UJINGA WEWE HATUONGELEI YALIYOPITA BALI YA LEO BADO UNATURUDISHA 1995 UNA AKILI AU UNA MATOPE??? KWAKUWA YALIPITISHWA NA CCM IENDELEE KUWA HIVYO MPAKA UMALIZE UMRI WAKO WA MAKA 60 ULIYOBAKIZA DUNANI AU TUREKEBISHE? KUMBE WANA CHADEMA NDIVYO MLIVYO UNAAMBWA HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI TIBA WEWE UNAONGELEA HABARI ZA MAREHEMU NDYO ALIMWAMBUKZA UGONJWA SASA UNAWEZA KUMFUFUA MAREHEMU AJE KUJIBU KESI YA KUMWAMBUKIZA UGONJWA MGONJWA WAKO, KAMA ALIVYOFANYA MCHIZI WENU LEMA PALE MOUNT MERU HOSPITAL MPAKA MAITI IKAHARIBIKA????
Msimamo wa chadema ni kuwa na katiba mpya ambayo itasimamia rasilimali za umma sio mpiga dili mnayemuita mzalendo wakati alishiriki kupitisha sheria mbovu zinazohujumu taifa. Ile katiba ya Warioba yenye maslahi kwa nchi ccm waliikataa, sasa nani mwenye akili timamu awaunge mkono ccm wakati ndio chanzo cha matatizo ya matatizo nchini.
 
Hao waliotajwa kwenye kashfa ya makinikia mbona wanapeta mitaani huko Chenge akiongoza bunge Kama mwenyekiti?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Mtu anayesumbuliwa na mihemko kuishi kwake ni kwa mazoea. Hakuna jipya ambalo asuyeshukiwa akili anaweza kujifunza kwake. Ndo mwisho wa kufiki kwake

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
jibu post kwa hoja kwani uongo hamuwatetei mafisadi
Kuwatetea kivipi?kwa kusema tufuate sheria ndiyo kuwatetea?kweli Tanzania bado sana lakini tutafika kwa kijikongoja. Mikataba mibovu m sign wenyewe leo mnatafuta mchawi. Hata wapinzani wakisema mna hiari ya kufuata au kukubali kwani mko wengi.
Kwa hiyo ule ukurupukaji ndiyo mnaona sawa. Nchi wanatakiwa iendeshwe kufuata system sijaona nchi yeyote Duniani linaendeshwa kwa kauli za mkuu wa nchi ilikuwa Tanzania tu. Hata Zimbabwe na udikteta wake bado bunge linatunga sheria

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kweli tz tumerogwa kama tuna watu kama wewe, anko, bashite, polepole, lusinde, mlingwa, gombo, hapi, lipumba, jecha kipara be duh mungu atulehem

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
ACHA UJINGA WEWE HATUONGELEI YALIYOPITA BALI YA LEO BADO UNATURUDISHA 1995 UNA AKILI AU UNA MATOPE??? KWAKUWA YALIPITISHWA NA CCM IENDELEE KUWA HIVYO MPAKA UMALIZE UMRI WAKO WA MAKA 60 ULIYOBAKIZA DUNANI AU TUREKEBISHE? KUMBE WANA CHADEMA NDIVYO MLIVYO UNAAMBWA HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI TIBA WEWE UNAONGELEA HABARI ZA MAREHEMU NDYO ALIMWAMBUKZA UGONJWA SASA UNAWEZA KUMFUFUA MAREHEMU AJE KUJIBU KESI YA KUMWAMBUKIZA UGONJWA MGONJWA WAKO, KAMA ALIVYOFANYA MCHIZI WENU LEMA PALE MOUNT MERU HOSPITAL MPAKA MAITI IKAHARIBIKA????
Yaliyopita ndiyo matokeo ya haya matatizo ukweli kupanda maharage ukavuna mahindi

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ulionao ni zaidi ya matatizo yanayokukabili na kwa mtindo huo wa uelewa mbovu, utoshaji wa makusudi kwa umma ukidhani kujipendekeza ndio inalipa.

Taifa haliwezi endelea kwa mitazamo ya kishenzi kama hii ya kupandikiza chuki na kupitosha ukweli.

UNATUMIKA VIBAYA KAMA SIO BASI UELEWE WAKO SUFURI AMA UMEJIONDOA AKILI KWA KUSAKA MSOSI BILA KUJUA TUMBO HALINA SHUKRANI.
 
Wewe ni mzutiii tena mzutii uliochakazwa kwa chips funga,ccm nani msafi asimame,miaka 54 mmefanya nini hakuna fisadi nje ya chama chenu,si makada wote wezi nyambafuuu
lowassa na sumaye kwan wapo ccm acha kujitoa akili unasahau hadi ufisadi wa mbowe kwa nhc au pesa ya sabodo mbona unakuwa mwepesi wa kusahau kilichotokea kwenye msiba wa ndesamburo
 
Back
Top Bottom