Chadema kina miaka 25 sasa, charity begin at home, kimefanya maendeleo gani? Mpaka sasa bado kimepanga, Sabodo alitoa hela ya kuchimba visima majimbo yote yote ya chadema zimeliwa, fuso za M4C eti kila moja 600m? ? [emoji15] [emoji15]
Bodaboda za M4C lizilosambazwa mkoani kila moja waliinunua 1.2 lakini kuweka logo za M4C ikatangazwa tender eti Mtei akashinda kuweka logo kwa kila bodaboda moja eti 1m? ?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
chadema wamechukua majiji ya Dar na Moshi eti parking wamewapa wakenya kwani hakuna watanzania wenye sifa? ?
Halafu wanataka nchi? ?
Kuleni ruzuku bhana usituchoshe.