Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Adui namba moja wa Tanzania ni CHADEMA

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
CHADEMA kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh Rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Kumbe cdm ndio waliopitisha miswaada ya kifisadi ya madini bungeni huku wakipiga makofi na vigeregere?

In god we trust
 
Umekosea sana Adui wetu wa maendeleo ni
1.CCM
2.UJINGA
3.MARADHI
4.UMASIKINI

tumeshuhudia ccm ikifuta ajira, ikila rambi rambi, ikiminya demokrasia leo ukiwa chadema ww ni muasi, imesaini mikataba mibovu, yapo mengi
Unakumbuka Makufuli aliuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu?
Take your cheque 7000
 
Chadema kimeibuka na kuwa adui mkubwa wa maendeleo leo wanakesha usiku na mchana kuona Tanzania inaanguka tumeliona ile kwenye swala la makinikia ambapo baada ya kuunga mkono jitihada za mh rais Magufuli za kujikomboa katika wizi wa wawekezaji wao wamekuwa maagent wa wezi tukaona kwenye issue ya madawa ya kulevya pia tunaona katika vita ya mafisadi.
Kwanza jifunze kuandika sentensi zilizopangiliwa zenye vituo, aya na nukta kabla ya kujaribu kuandika kitu kinachotaka kujenga hoja.

Maana wengine tunaojali mambo hayo tunaweza kusoma, tukaona umeandika kama mtu ambaye hajaelimika, tukashindwa hata kukupa umuhimu kwa kufikiri kwamba unasumbuliwa na ukosefu wa elimu tu.

Hata kama una hoja nzuri.
 
Maadui ni wale walioingia mikataba ya kijinga utafikiri hawakuwahi kuona hata mlango wa shule. Hao ndio maadui na ndio waliotufikisha kwenye hali hii yote ya kunyonywa na wawekezaji. Halafu leo wanajifanya wametubu na kwamba eti wanapinga unyonyaji ambao wao wenyewe ndio waliouidhinisha kwa tamaa za matumbo yao. Kwao kauli mbiu ilikuwa ni "Tumbo mbele taifa baadaye".
 
Tuliwaita kila aina ya majina kipindi sisi tunasema ndiooo kwa kila kitu. Na baada ya kuona wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu Madini ndo tunakuja na Muvi ambayo hatuna uhakika nayo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe cdm ndio waliopitisha miswaada ya kifisadi ya madini bungeni huku wakipiga makofi na vigeregere?

In god we trust

ACHA UJINGA WEWE HATUONGELEI YALIYOPITA BALI YA LEO BADO UNATURUDISHA 1995 UNA AKILI AU UNA MATOPE??? KWAKUWA YALIPITISHWA NA CCM IENDELEE KUWA HIVYO MPAKA UMALIZE UMRI WAKO WA MAKA 60 ULIYOBAKIZA DUNANI AU TUREKEBISHE? KUMBE WANA CHADEMA NDIVYO MLIVYO UNAAMBWA HUYU NI MGONJWA ANAHITAJI TIBA WEWE UNAONGELEA HABARI ZA MAREHEMU NDYO ALIMWAMBUKZA UGONJWA SASA UNAWEZA KUMFUFUA MAREHEMU AJE KUJIBU KESI YA KUMWAMBUKIZA UGONJWA MGONJWA WAKO, KAMA ALIVYOFANYA MCHIZI WENU LEMA PALE MOUNT MERU HOSPITAL MPAKA MAITI IKAHARIBIKA????
 
Naona imebidi walete maingizo mapya maana naona kina Lizaboni wameshachemka yanayofanyika sasa hivi ni aibu hata kuyapigia vuvuzela.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
vipi kile chama kinachopiga wananchi risasi na kusaini mikataba Iliyomaliza rasilimali za nchi ?
mimi nadhani tuwapongeze CHADEMA waliothubutu kupiga kelele wakati akina makufuli wakipitisha sheria mbovu za kuliuza taifa, na alibaki kimya leo ndio anaongea...
CCM walipinga mipango yote mizuri ya maendeleo kutoka kwa wapinzani na kuapa hawatomruhusu mtu yeyote asiekuwa ccm kuingia ikulu na kuiletea nchi maendeleo..
CCM tangu wazaliwe wanakula serikalini hawataki wengine wale..
roho za visasi, oneni aibu kutumia dola kutimiza visasi binafsi..

Sent from my TECNO-H3 using JamiiForums mobile app
 
jibu post kwa hoja cdm ya sasa sio ile ya slaa ambayo ilikuwa inajenga hoja zenye manufaa
Uliambiwa chadema ni slaa?
Teh teh teh
Chadema ni tishio ndiyo maana hamlali na Jumanne Pumba Maharagwe. Mkisikia Chadema usingizi una kata
Siipendi Chama cha makinikia mpaka kesho kutwa nikimuona mtu ni ccm huwa napata kichefu chefu sana tena km yule mwenyekiti wako huwa nabadilisha chanel bora nisikilize muziki kuliko kumsikiliza mtu yyte anayetoka ccm. Tena km Kairuki siku akidanja nitafanya sherehe
 
Kwanza jifunze kuandika sentensi zilizopangiliwa zenye vituo, aya na nukta kabla ya kujaribu kuandika kitu kinachotaka kujenga hoja.

Maana wengine tunaojali mambo hayo tunaweza kusoma, tukaona umeandika kama mtu ambaye hajaelimika, tukashindwa hata kukupa umuhimu kwa kufikiri kwamba unasumbuliwa na ukosefu wa elimu tu.

Hata kama una hoja nzuri.
KK yatosha

In god we trust
 
Nafikir unamaanisha chama cha mapinduzi

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli nyani haoni kundule miaka zaidi ya 50 watanzania masikini Wa kutupwa ni chadema wamesababisha?ccm mmewatesa sana watanzania

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom