Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,985
Pipo are dying my God!Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Hillary Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭