- Thread starter
- #41
Chanzo cha kifo sifahamu, anaitwa Adrian Hilary SteppNini kimemsibu...?? Alikuwa Anaitwa..?
Chanzo cha kifo sifahamu, anaitwa Adrian Hilary SteppNini kimemsibu...?? Alikuwa Anaitwa..?
DuhWhat? Kaka alikuwaga anapenda ubuyu wangu masikini!
Pumzika kwa amani Adrian.
Ze pipo used to die in ze....Rip adrzPipo are dying my God!
RipHabari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
View attachment 3299783
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭
Azam inawatoa kawafara watangazaji wa Ile dini nyingineHabari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
View attachment 3299783
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭
Kwakweli Azam wafanyakazi wanatembea mno!RIP Azam watu wanadondoka Sana
Na mwezi uliopita katembea tena mwandishi mwingine! Kuna kitu si bureRIP.
Azam kunani palee?
Juzi Rahab Fred.
Leo Adrian
Kwa kiasi chake sio habari sahihi. Aliacha Azam tangu February ya mwaka 2016. Almost 10 years. Sadly, Watu wachache sana wanamkumbuka katika ofisi hiyoWiki mbili Azam inapoteza watangazaji wawili! Poleni Azam family.
Hayupo Azam TV miaka mingi sana.. mara ya mwisho alikuwa amejiriwa Magic FM then akaenda kwa Maria SarungiNa mwezi uliopita katembea tena mwandishi mwingine! Kuna kitu si bure