Watanzania bwana😂😂😂wanadondoka sana wangapi?RIP Azam watu wanadondoka Sana
Hii ina ukweli ndani yakeRIP Azam watu wanadondoka Sana
✍Watanzania bwana😂😂😂wanadondoka sana wangapi?
Haya tuambie.
Nimeumia imekuwa gaflaGoing the soonest.
Hii tasinia imepata misiba mfululuzo.
Poleni wote.
Daah, ndio maana sijamuona humu ndani kitambo, sikujua kumbe ndio mazima.Kifo hakina huruma.
Hapo ataishia kurukaruka tu.Watanzania bwana😂😂😂wanadondoka sana wangapi?
Haya tuambie.
What? Kaka alikuwaga anapenda ubuyu wangu masikini!
Pumzika kwa amani Adrian.
Pipo are dying my God!Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Hillary Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu.
Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana.
Binafsi niliwahi mfahamu Adrian kama kijana mchapakazi na mwenye utu, kifo chake kimenipa huzuni sana, sikujua kama angeondoka duniani mapema hivi.
Namuombea pumziko jema huko alipo
Kifo kinauma.
😭😭