Sawa bado tuko mwaka 1448
HakikaWakati uho uho Makanisa Denmark yanageuzwa Makumbusho na Maktaba mengine majumba ya Cinema nk.✍️
kupigwa marufuku Adhana sio tatizo wanaweza kuitana kwa Simu Dunia imebadilika sana👈
sio lazima kuitana kwa njia ya zamani 👈
Hizo ni adhana zetu huku kijiwe samli bom bomJamaa waoga au ? Mana wao wanapigwa Adhan nyeupe isiyo na Mikwara minene kama shuka kugeuka Sanda, chumba kuwa shimo na usingizi kugeuka kifo.
Au type za kina Dk.Sulle zimefika na huko?
Wewe ng'weng'we, wasomali walikufanya nini, hebu toa ushuhuda?kukataza haitoshi, they’d deport all of them, one way ticket back to stinking somalia …
Taratibu wanaacha huo utaratibu wa kijima. Hata baadhi yenye kengele hawapigiLakini si yapo yenye kengele?
Utapasuka bule kwa chuki buddy,Waislamu mchi za Magharib hawatumii vipaza sauti ila wapo wengi mno,na wazungu wanaingia kwenye uislaam kila kukicha.
potea wewe zwazwaNi tatizo la akili, au una asili ya uwongo!
Hakuna wazungu wanaojiunga na uislam. Waislam wanaongezeka nchi za Ulaya kwa sababu ya wahamiaji waarabu kwenda Ulaya na kuzaliana hovyo. Lakini siyo wazungu kujiunga na uislam.
Soma hapa chini, kama ulienda shule, na ulikuwa unafundishika:
The growth of the Muslim population in Europe is primarily driven by immigration and higher natural birth rates within immigrant families, rather than religious conversions.
Lakini si yapo yanayopiga?Taratibu wanaacha huo utaratibu wa kijima. Hata baadhi yenye kengele hawapigi
Very few. Wako sensitive na hisia za watuLakini si yapo yanayopiga?
Kagame alishapiga marufuku hizi kelele. Kwa watu ambao waliwahi kufika kilwa au kuishi ndio wanajua kero za hizi adhana. Haswa wakati wa ahsubuhi.Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala kupitia vipaza sauti vya misikiti linaweza kutekelezwa,
-
Waziri Morten alisema 'Adhana haupaswi kusikilizwa juu ya paa za nyumba za raia wa Denmark, Haina nafasi nchini Denmark, na raia wa nchi hii hawatakiwi kuhisi kama wapo kwenye mitaa ya Islamabad kila wakati sababu ya adhana',
-
Mabishano ya jambo hili yanahusu haki za umma isiyo ya kidini huku wengine wakidai sheria hio itakiuka haki za kidini za kikatiba na kuwalenga Waislamu tu,
Source SamMisago
Hayohayo few lakini si yapo?Very few. Wako sensitive na hisia za watu
Nzuri sana wapige kimya kimya kwani huko zamani kabla ya tech walikuwa wana tumia vipaza sauti !? Kama walikuwa hawatumii na watu bado wakawa wana sali kwanini washindwe kufanya hivyo hivi Sasa !?dah hiyo siyo nzuri azana kukatazwa
Exactly makelele kinyama unakuta nyumba za Jirani Kuna wagonjwa au ni karibu na hospital watu wana magonjwa kibao mara mtu anasikia makelele ya kengele sijui adhana au hao walokole can you imagine!!!Kufanya adhana kwa kutumia speaker's, ni usumbufu kwa raia wengine wasio wailsam.
Watumie mdomo TU kutoa adhana.
Na RC wasitumia kengele makubwaa , Zina leta mstuko wa Moyo, bali waweke kengele vidogo TU.
Na walokole watumia sound systems kwenye kufanya Ibadan zao sauti ibaki mule mule ndani ya nyumba ya Ibadan isitoke nje, wasitumie ma speaker ya matangazo kwenye nyumba za Ibada,
Bangi 😆Sasa Yesu anahusikaje?
Kwani wao wamekataza kwa sababu ya Yesu?